Alez von lumor
JF-Expert Member
- Nov 4, 2023
- 516
- 1,474
Meery Christmas wakuu
Natumaini mu wazima siku ya leo pia pole kwa wale wanaoumwa, walemavu na kikubwa pole kwa makapuku kama mimi ambao sikukuu ya leo tutakula ugali, dagaa mchele na soda baridi
Sina mengi ya kusema ila nimeona nije niwatakie heri ya sikukuu ya christmass kwa wakongwe wa jf wazee wetu
Sina muda sana jf lakini ngoja niwape heshima zao kina Grahams JBourne59 ambaye kwa sasa yupo akifaidi penzi la bibi yetu hamida baada ya kutuacha solemba na simulizi pendwa "msegemnege" pia na kwa wazee wote nisiowafaham nawatakia heri ya sikukuu ya christmass na Mungu awavushe salama tukutane 2024
More repsect to you mazee