lubano jr
Member
- Apr 25, 2019
- 67
- 117
Kampuni ya ubashiri ya meridian wanatengeneza mazingira ya wizi kwa wateja wao wanazuia akaunti za wateja kutoa pesa ukipiga huduma kwa wateja wanatoa sababu zisizo eleweka na kukupa masaa 24 hewa ukipiga tena hawapokei na namba yao ya huduma kwa wateja inatumia gharama kwa mteja mwenyewefano mzuri akaunti nba ya mteja 1920820 kwa zaidi ya masaa 30 sasa pesa zake bado haziruhusiwa kutoka kwenye akaunti ya meridian.
Tunaomba bodi ya michezo ya kubahatisha kufuatilia hili pesa za watanzania zinazoliwa pasipo sababu mwisho kuchukuliwa na wachache ndani ya kampuni ya meridian bet Tanzania
Tunaomba bodi ya michezo ya kubahatisha kufuatilia hili pesa za watanzania zinazoliwa pasipo sababu mwisho kuchukuliwa na wachache ndani ya kampuni ya meridian bet Tanzania