Meneja wa Golikipa Aishi Manula amesema, Djigui Diarra ni Golikipa bora muda wote

Half american

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
34,668
89,420
Meneja wa Golikipa Aishi Manula amesema, Djigui Diarra ni usajili bora zaidi wa Yanga katika mafanikio yao ya kutwaa Ubingwa wa ligi kuu misimu (3) mfululizo"

Jemedari Said amesema hajawahi kuona golikipa bora aliyekamilika katika sanaa ya uchezaji kama Djigui Diarra Tanzania katika misimu (10) iliyopita, amemzidi hadi mteja wake Aishi Manula yule wa 2018+ aliyekuwa bora.

"katika kipindi cha miaka 10 sijawahi kuona golie mwenye uwezo kama Djigui Diarra unapaswa kuwa mkweli kwenye jambo linalotaka ukweli. Diarra amekuwa bora mbele ya Manula na magolikipa wote. Ni golikipa bora wa muda wote kwa wachezaji wa kigeni.. Watu wajue nikisema hiki sicho sio kwa sababu nachukia bali namanisha."

images (16).jpeg
images (15).jpeg
=====
 
Unajua maana ya neno "golikipa bora wa muda wote"?,kacheza Tanzania misimu mingapi? umewahi kuwaona akina Mohammed Mwameja, Omar Mahadhi na Athuman Mambosasa?
 
Diarra hana mpinzani bongo. Ni nguzo kubwa zaidi Yanga. Pia tunapata faida kama nchi magolikipa wazawa kujifunza kwake kama Msheri anakuja vizuri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom