E Ebenezer Patrick Member Dec 21, 2016 29 7 Jan 2, 2017 #1 Members naomba mnisaidie website gani ambayo naweza kununua simu {smartphone} kwa uhakika,haraka na kwa ghalama ya kawaida xana
Members naomba mnisaidie website gani ambayo naweza kununua simu {smartphone} kwa uhakika,haraka na kwa ghalama ya kawaida xana
KING 360 JF-Expert Member Jun 30, 2016 3,002 5,191 Jan 2, 2017 #2 Utalizwa ww kwann usiulize zinapatikana wp ukaelekezwa ukaenda ukapewa kitu mkono kwa mkono but subili waje
Utalizwa ww kwann usiulize zinapatikana wp ukaelekezwa ukaenda ukapewa kitu mkono kwa mkono but subili waje
kadagala1 JF-Expert Member Nov 23, 2016 5,977 6,271 Jan 3, 2017 #5 Ebenezer Patrick said: Members naomba mnisaidie website gani ambayo naweza kununua simu {smartphone} kwa uhakika,haraka na kwa ghalama ya kawaida xana Click to expand... Hata jf zimo nenda jukwaa la matangazo
Ebenezer Patrick said: Members naomba mnisaidie website gani ambayo naweza kununua simu {smartphone} kwa uhakika,haraka na kwa ghalama ya kawaida xana Click to expand... Hata jf zimo nenda jukwaa la matangazo
PROF NDUMILAKUWILI JF-Expert Member Mar 25, 2016 10,518 13,135 Jan 3, 2017 #6 Wenzako kila siku wanaleta post humu kwamba wamelizwa huko kwenye mitandao wewe bado unataka kujichomeka!
Wenzako kila siku wanaleta post humu kwamba wamelizwa huko kwenye mitandao wewe bado unataka kujichomeka!
Kaudunde Kautwange JF-Expert Member Nov 15, 2011 1,625 1,619 Jan 3, 2017 #7 Zoom Tanzania, Jumia, kaymu, kivukoni.com
E Ebenezer Patrick Member Dec 21, 2016 29 7 Jan 5, 2017 Thread starter #8 akazuba said: Unaishi mkoa gani? Click to expand... me nipo Mtwara
E Ebenezer Patrick Member Dec 21, 2016 29 7 Jan 5, 2017 Thread starter #10 Anna Leonard said: dooh... Click to expand... vp tena?!