Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 48,957
- 151,032
Nahisi anaanda mazingira.Kuna kitu kipo nyuma ya pazia hizi hujuma sio bure
Magufuli asipoangalia
Binafsi namchukia membe hakuna mfano. Huyu akipewa serikali itakuwa kama ya mkwere. Hafai hata kidogo na kama ndo anatafuta kiki ya 2020. Atasubili sana mpake mvi zimtokeSitaki kuamini kama Membe yuko peke yake kimtazamo juu ya Magufuli na utendaji wake bali naamini anawakilisha mtazamo wa wengi ndani ya chama hicho wakiwemo baadhi ya vigogo.Wengine nadhani wamekosa ujasiri tu ila mioyoni mwao wanawaza kama Membe.
Magufuli akiendelea hivi kama alivyoonza,basi kina Membe wengine tutawaona wakati wa kumchagua mwenyekiti wa CCM Taifa au katika kumpitisha mgombea uraisi wa CCM mwaka 2020.
Mh.Membe namuona ni kama mtu alieamua kuonyesha njia ili wengine wenye nia nao wajiunge katika safari hiyo.
Sitaki kuamini kama Membe yuko peke yake kimtazamo juu ya Magufuli na utendaji wake bali naamini anawakilisha mtazamo wa wengi ndani ya chama hicho wakiwemo baadhi ya vigogo.Wengine nadhani wamekosa ujasiri tu ila mioyoni mwao wanawaza kama Membe.
Magufuli akiendelea hivi kama alivyoonza,basi kina Membe wengine tutawaona wakati wa kumchagua mwenyekiti wa CCM Taifa au katika kumpitisha mgombea uraisi wa CCM mwaka 2020.
Mh.Membe namuona ni kama mtu alieamua kuonyesha njia ili wengine wenye nia nao wajiunge katika safari hiyo.
Ni kweli mkuu...kuna mafisadi wengi nyuma ya Membe..its just a matter of time watachomoza vichwa tuu.... hawafurahii hii kasi..ila wengi tunampa support na maombi yetu yapo mbele yake!Nahisi anaanda mazingira.
soon hata ya jpm itakua kama ya mkwere vuta subira kidogoBinafsi namchukia membe hakuna mfano. Huyu akipewa serikali itakuwa kama ya mkwere. Hafai hata kidogo na kama ndo anatafuta kiki ya 2020. Atasubili sana mpake mvi zimtoke
Sasa tukiwa na watu kama membe kwenye serikalu lazima turudi kule kule. Namuomba mungu sana angalu tanzania yangu iwe tanzania mpya. Tanzania ambayo mpaka wajukuu zangu wataisimulia kuwa aliwahi toke kiongozi aliye ivusha nchi kwenye mambo makubwa. Rushwa na ufisadi ni aibuu kwa taifa kama hilisoon hata ya jpm itakua kama ya mkwere vuta subira kidogo
kwa sisi wenye kufikiri mbali Membe huyu ni Mfa maji anaye tapa tapa baada ya kukosa vyeo kila kona, moja alikuwa anautaka uraisi akakosa, pili alifikiri lazima atakuwa waziri wa mambo ya nje ndio maana alichelewa hata kukabidhi nyumba ya serikali aliyokuwa anaishi kama waziri kwani aliamini kuwa ni lazima atakuwa waziri,je haya anayo yaongea leo mda wote alikuwa wapi? pili anaogopa kwa kasi ya Magufili maslahi yake lazima yataguswa maana na yeye ni JIPU sugu, kwa sasa wanaoisoma namba ni hawa hawa wana ccm lakini na wapinzania kwa kutokujua wanashabikia kauli za Membe, nafikiri kaka yake Kikwete alifanya kila linalo wezekana ili awe Raisi kwa lengo la kulinda maslahi yao lakini ilishindikana kwa hiyo yeye atulie ANYOEWE.Sitaki kuamini kama Membe yuko peke yake kimtazamo juu ya Magufuli na utendaji wake bali naamini anawakilisha mtazamo wa wengi ndani ya chama hicho wakiwemo baadhi ya vigogo.Wengine nadhani wamekosa ujasiri tu ila mioyoni mwao wanawaza kama Membe. s
Magufuli akiendelea hivi kama alivyoonza,basi kina Membe wengine tutawaona wakati wa kumchagua mwenyekiti wa CCM Taifa au katika kumpitisha mgombea uraisi wa CCM mwaka 2020.
Mh.Membe namuona ni kama mtu alieamua kuonyesha njia ili wengine wenye nia nao wajiunge katika safari hiyo.
wewe ibilisi unampa maombi ganiNi kweli mkuu...kuna mafisadi wengi nyuma ya Membe..its just a matter of time watachomoza vichwa tuu.... hawafurahii hii kasi..ila wengi tunampa support na maombi yetu yapo mbele yake!