Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 2,885
- 4,222
Kama ni hivyo, basi ni bora Musiba aombe msamaha kwa Membe. Halijaharibika jambo. Lakini hivi inavyotokea sasa Membe anataka kufanya jambo ambalo haielekei kama litakuwa na faida yoyote kwake. Kupingana na Superstar Preacher kama Cardinal Pengo, au kupingana na Askofu Malasusa, kwa mwanasiasa ambaye baadaye anataka kwenda kwenye kampeni, this is unthinkable.
Kwa muumini wa dini, Kiongozi wa Dini ndio kila kitu kwake. Itadhoofisha imani ya watu wengine wakiona wanasiasa wa CCM hawawaheshimu viongozi wa dini.
Halafu Membe katika CV inaonyesha alikuwa mseminari or something.