Meli ya Iran yatekwa na magaidi Somalia na kuokolewa na jeshi la India

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
32,283
50,550
Mumechanganyikiwa hadi mnatekana wenyewe kwa wenyewe, mbwa kala mbwa....

Indian Navy warship rescues Iranian vessel hijacked off Somalia coast​

The Indian Navy's INS Sumitra on Monday safely rescued fishermen hijacked by pirates along the East coast of Somalia and the Gulf of Aden, defence officials said.

Deployed there on anti-piracy operations, INS Sumitra ensured the safe release of a hijacked Iranian-flagged Fishing Vessel (FV) named Iman following a distressed message.

According to officials, the vessel was boarded by Somalian pirates and its 17-member crew was taken hostage.
 
Utafikiri wameteka meli ya mafuta kumbe ya kuvua samaki
Haijalishi awe nani wala nani hao watoto wa baba hawataki utani, hata kama kuna shida Somalia lakini haiwafanyi watu waje kujioakilia samaki hovyo
Hili linatokea sana hata kuna wakati ikikamatwa meli ya Wachina ilikuwa ni ya kuvua samaki na packaging humo humo yaani kuna wafanyakazi zaidi ya Elfu 3 ndani na wanavua wanasafisha na kuwaweka kwenye mikebe na kuzipaki kwenye maboksi tayari kuuza
Wasomali wakaikamata na waliizuia na kuipeleka kwenye Mogadishu port walipigwa faini ya kufa mtu
Hivi sisi Samaki wangapi wanavuliwa kwenye maji yetu na hatujui?

France na UK kila leo wavuvi wanapigania maeneo ya kuvua au hamna habari kabisa
Biashara ya samaki inalipa sana duniani mpaka China kaamua kutengeneza kiwanda kinacho tembea baharini
Hebu jisomee hii habari kuhusu wachina na meli zao za uvuvi wanavozunguka Dunia kuiba samaki na mpaka wameweka mitambo inayozuia wasionekane kwenye Radar baada yakuvamia maeneo mengi duniani

Calapago Island kuna meli 340 za mchina huko anavua tu na kesi haziishi
Screenshot_20240130_150911_Chrome~2.png
 
Utafikiri wameteka meli ya mafuta kumbe ya kuvua samaki
Haijalishi awe nani wala nani hao watoto wa baba hawataki utani, hata kama kuna shida Somalia lakini haiwafanyi watu waje kujioakilia samaki hovyo
Hili linatokea sana hata kuna wakati ikikamatwa meli ya Wachina ilikuwa ni ya kuvua samaki na packaging humo humo yaani kuna wafanyakazi zaidi ya Elfu 3 ndani na wanavua wanasafisha na kuwaweka kwenye mikebe na kuzipaki kwenye maboksi tayari kuuza
Wasomali wakaikamata na waliizuia na kuipeleka kwenye Mogadishu port walipigwa faini ya kufa mtu
Hivi sisi Samaki wangapi wanavuliwa kwenye maji yetu na hatujui?

France na UK kila leo wavuvi wanapigania maeneo ya kuvua au hamna habari kabisa
Biashara ya samaki inalipa sana duniani mpaka China kaamua kutengeneza kiwanda kinacho tembea baharini
Hebu jisomee hii habari kuhusu wachina na meli zao za uvuvi wanavozunguka Dunia kuiba samaki na mpaka wameweka mitambo inayozuia wasionekane kwenye Radar baada yakuvamia maeneo mengi duniani

Calapago Island kuna meli 340 za mchina huko anavua tu na kesi haziishi View attachment 2888940
Kumbe Iran ni wezi wa samaki, na vipedo vyoo kabisa?
 
Mimi nimeweka mifano hai na taarifa nilizosoma kwa mataifa mengine ila ungesema na wafaransa na waingereza pia na hatuwezi kujua ilienda kuvua au ni mbinu za kijeshi na kujifanya wavuvi?
Tz wanaingia wazungu wamebeba makamera na kusema wamekuja kupiga picha ndege wetu ila kiuhalisia ni majasusi

Usiangalie upande mmoja tu waza na nje ya box pia
Je ni samaki au
 
Mumechanganyikiwa hadi mnatekana wenyewe kwa wenyewe, mbwa kala mbwa....

Indian Navy warship rescues Iranian vessel hijacked off Somalia coast​

The Indian Navy's INS Sumitra on Monday safely rescued fishermen hijacked by pirates along the East coast of Somalia and the Gulf of Aden, defence officials said.

Deployed there on anti-piracy operations, INS Sumitra ensured the safe release of a hijacked Iranian-flagged Fishing Vessel (FV) named Iman following a distressed message.

According to officials, the vessel was boarded by Somalian pirates and its 17-member crew was taken hostage.
maharamia ya somalia yanatumia marungu ndio maana chap meli imeokolewa 🐒
 
Back
Top Bottom