Meli kubwa inashusha vitu vya siri mbele ya Paje Zanzibar

Pharaoh

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
843
157
Iangaliwe Meli kubwa ya Kimataifa ya Makontena inayopita polepole mbele ya Paje Zanzibar ya mashariki, inashusha vitu haramu sana na kupokelewa na maboti ya mwendokasi yanayojifanya ya Diving activities au fishing.
Pia Majahazi, Bandari Bubu na Bandari ya Mkokotoni na njia za Wavuvi
 
Tuko bize kuhakiki vyeti, Ila mawaziri,wabunge,wakuu wa mikoa hawahusiki na vyeti
 
Piga simu kwa makonda ndio atawapigia kmkm
 
Mkuu;
Nashindwa kukuelewa kidogo. Tuseme hao watu wenye uwezo wa kushusha mzigo mchana peupe hawana kibali kweli?? Wajuaje, labda ukubwa wa meli na kina cha bandari havielewani hivyo kaomba kushushia mbali??
Ni mawazo tu, kwani weye uliiona hiyo meli (Kubwa) kwa uchawi au ni macho?? Ka ni macho, nadhani hao jamaa wanacho kibali.
 
Utakuwa siku sio zako mkuda wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…