Meditisha na Taamuli ni uchawi mkubwa

Utajua wewe

JF-Expert Member
Feb 20, 2024
831
1,630
Habari zenu,

Nimekuja hapa kuomba msaada wa haraka.

Ni miaka miwili nipokwenye hizi ibada za meditisha na Taamuli .

Nilizoea na kupata utulivu mkumbwa sana wa akili ila sasa navuka mipaka na inaniletea madhara makubwa.
Nimekuwa na uwezo wa kuongea na roho nyingi na uwezo wa kutabiri na kujidhibiti kifikra.

Nimeshatabiria zaidi ya watu 4 kifo ikiwemo aliyenifundisha hii Taamuli ambaye ni BABU yangu. Sasa imefikia wakati nikiwa kwenye taamuli baada ya kuwasha mishumaa yangu katika mduara wa nyota nashindwa kujicontrol kama mwanzo nafanya vitu vingine vipya kama kutoa maneno madomoni nisiyojua maana yake.
Kuzidiwa na nguvu na mwili kukakamaa .

Kwa mwenye ujuzi wa Taamuli nawezaje kuacha?
 
Habari zenu,"

Nimeshatabiria zaidi ya watu 4 kifo ikiwemo aliyenifundisha hii Taamuli ambaye ni BABU yangu.
Sasa imefikia wakati nikiwa kwenye taamuli baada ya kuwasha mishumaa yangu katika mduara wa nyota nashindwa kujicontrol kama mwanzo nafanya vitu vingine vipya kama kutoa maneno madomoni nisiyojua maana yake.
Kuzidiwa na nguvu na mwili kukakamaa .

Kwa mwenye ujuzi wa Taamuli nawezaje kuacha ??

Utajua Wewe!! Sisi usituhusishe
 
Habari zenu,

Nimekuja hapa kuomba msaada wa haraka.

Ni miaka miwili nipokwenye hizi ibada za meditisha na Taamuli .

Nilizoea na kupata utulivu mkumbwa sana wa akili ila sasa navuka mipaka na inaniletea madhara makubwa.
Nimekuwa na uwezo wa kuongea na roho nyingi na uwezo wa kutabiri na kujidhibiti kifikra.

Nimeshatabiria zaidi ya watu 4 kifo ikiwemo aliyenifundisha hii Taamuli ambaye ni BABU yangu. Sasa imefikia wakati nikiwa kwenye taamuli baada ya kuwasha mishumaa yangu katika mduara wa nyota nashindwa kujicontrol kama mwanzo nafanya vitu vingine vipya kama kutoa maneno madomoni nisiyojua maana yake.
Kuzidiwa na nguvu na mwili kukakamaa .

Kwa mwenye ujuzi wa Taamuli nawezaje kuacha?
Sasa mbona baada ya kututisha ila ni kama tunashawishika na kutamani kufanya na sisi pia
 
Back
Top Bottom