KERO Medical Council of Tanganyika (MCT) wamekuwa kero sana

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Medical Council of Tanganyika (MCT) wamekuwa hawatoi msaada unaoitajika kwa madaktari especially swala la leseni kwamba ukishalipia ni aidha uifate Dodoma ama usubirie kwa muda wao wanaoutaka wao na namba walizoandika kwenye website zao hazipokelewi kabisa.

kama mtu yupo registered na anaruhusiwa kufanya kazi na ana username na password kwann asiwe na uwezo wa kuiona na hata kuiprint soft copy ya leseni yake?

Mfano, sasa hivi leseni za madaktari zinahitajika kwa ajili ya categorization ila kwa wengi hazijatumwa na hakuna namna ya kupata hata soft copy labda uende mwenyewe Dodoma, Of which ni usumbufu usio na sababu. Mbaya zaidi contacts walizoweka simu hazipokelewi pia email hazijibiwi
 
Nipo Dodoma , naweza kukusaidia kuchukua leseni na cheti na kukutumia popote ulipo
0683877594
 
Upipisho wa jina la taasisi ya masuala ya afya mbona unafanana na taasisi ya masuala ya habari, hawaoni kuwa kuna mgongano ukiwa unaitafuta kwenye mitandao ya kijamii?
 
Back
Top Bottom