ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 8,026
- 18,804
Imeripotiwa kuwa Tabora United imekosa kiasi cha million 20 ili kulipia vibali vya wachezaji wa kigeni.
Lakini tukumbuke Mkuu wa mkoa wa Tabora ametoa ahadi ya million 50 timu hiyo ikiifunga Simba.
Hiyo ahadi ya Mkuu wa mkoa wa Tabora ni zuga tu, kama ana million 50 kwanini asiwape Wakamilishe usajili wa wachezaji wa kigeni
Kiongozi mwandamizi wa Tabora United alikuwa Mwenyekiti wa Simba zamani Mzee Rage, hapa Kuna upangaji matokeo unaratibiwa wazi wazi
Tukumbuke Tabora United alifungwa na Simba mechi mkondo wa kwanza Kwa kuwa na wachezaji pungufu maana wachezaji wengi wa timu hawakuwa na vibali
Soma Pia RC Chacha aahidi milioni 50 kwa Tabora United ikiilaza Simba SC
Tunawaomba TFF ihairishe huu mchezo hadi Tabora United Wakamilishe mchakato wa wachezaji wao wapate vibali
TFF, wachukulie hatua Simba na shoga yake Tabora United, Kwa kosa la kupanga matokeo
Washushwe daraja