Mechi ya Simba vs TMA inafikirisha

Rocco sifredi

Senior Member
Jul 15, 2023
103
198
Tumeshinda ni jambo jema lakini timu ilivokua inacheza inafikirisha kwakweli binafsi niliyoyaona

1 Beki zetu za kati bado naona kuna ka hali Fulani kanatia wasiwasi hiyo tar 8 sijui labda kwa vile derby haiamuliwi na kiwango cha timu husika inatokana na mambo mengi ningekua kwenye bodi ya maamuzi chamou angeuzwa akatafutwa beki mwingine wa kati ambaye ana kasi kuliko chamou

2 Nouma kaupiga mwingi gap la zimbwe halijaonekana kajitahidi sana kwa kiasi chake kapombe naye full back za Leo binafsi sina swali

3 Okejepha pamoja na kukaa benchi lakini Leo kacheza kiwango kikubwa utulivu mwingi kutembea na mpira binafsi hua naona kiungo cha okejepha na mavambo ndo kimetulia zaidi

4 Mutale Dah kuna wakati akipewa dk chache unaona kama vile anakuja Leo kaanza nikategemea ataprove zaidi lakini kiukweli sijaelewa hata kidogo alichokua anafanya uwanjani angeachwa tu aende atafutwe mwingine simba saivi inahitaji wachezaji waliokamilika kupambania nembo na si kukaa wajifunze mpaka sasa tunaelekea kwenye michuano migumu zaidi huku una wachezaji ambao bado wanajitafuta

5 Omary omary binafsi nimeona ana kiwango kizuri sana tu anaweza kufaa hata kwenye no 10 japo alianza ovyo awesu hana tamaa anaachia Mali ila hachezi kwenye eneo na pia kama vile anawahi kukata moto

6 Atebaa Dah nafasi 7 anafunga 1 labda ugonjwa alokua nao mukwala umempata na yeye ila naona anapitia kipindi kigumu anakua na kigugumizi uwanjani amekua sio ateba yule wakati anafika

All in all uchezaji huu unafikirisha pamoja na kua Simba alikua anacheza na timu ya championship tulitegemea makubwa Zaidi lakini naamini makocha wameona na wanayafanyia kazi
 
Pumueni derby haipo sawa watoto wazuri, yanga tumeamua kutokucheza nanyinyi tena ili msije mkafa kwa presha!.

Mtake Msitake Dabi ipo pale pale.!

Mkigoma tu mjue na pwente 3 mmezitema!

Hakuna pointi zinazopatikana mezani... ni uwanjani tu baada ya dk 90.!
 
Back
Top Bottom