Mechi ya Man Utd vs Bournemouth yaahirishwa kwa hofu ya kuwepo mlipuko

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,667
30,585
Mashabiki waliondolewa uwanjani baadae ya maelfu kuingia mtaani kwa hofu ya kiusalama. Mchezo ulisubirishwa kwanza, lakini kitu ambacho hakikuthibitishwa kiliwafanya maafisa wa usalama kuhairisha mchezo huo. Polisi walililipua kilipuzi hicho kwa uangalifu ndani ya uwanja.

.HAHAA MASHABIKI MAFALAA HAWA ATI WAMEWEKA BOMU KWIKWI MECHI ISICHEZWE PAMBAFU ILI WASUBIRI MECHI YA MAN CITY KWI KWI

IMEKULA KWAOOOO MBAFUU ZAOOO NA TOP FOUR SAHAUNII
 
HAHAA MASHABIKI MAFALAA HAWA ATI WAMEWEKA BOMU KWIKWI MECHI ISICHEZWE PAMBAFU ILI WASUBIRI MECHI YA MAN CITY KWI KWI

IMEKULA KWAOOOO MBAFUU ZAOOO NA TOP FOUR SAHAUNII
Hiyo mechi hata wasicheze tena maana haina umuhimu wowote...hahahahaha...wajiandae na msimu ujao tena.
 
kwan man u akishnda si anakua na point sawa na man cty, je goal diff. Ni ngapi?
 
Duh chosen mam awezi sema hiyoobanaa ipendee timuyakoo kwamoyowakowotee
 
Nahisi mchawi aisee maana fununu wanatakakumwongezea mkataba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…