Kada maarufu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mdude Nyangali amesema nabii Musa alifanya mengi mazuri juu ya Taifa la Israel lakini baadaye Mungu akampunzisha ili ampishe nabii Joshua awaingize wana wa Israel nchi ya ahadi ya Kaanani
Mdude maarufu kama Mdude Chadema amesema Mbowe ni kama nabii Musa amefanya mengi mazuri kwenye chama cha CHADEMA lakini sasa imefika wakati amuachie Lisu kama vile Mungu alivyomtaka Musa aachie ngazi amuachie Lisu akivushe chama hicho hicho kama na nabii Yoshua yalivyowavusha wana wa Israel kuingia Kaanani
Alisema yeye binafsi anamuunga mkono Lisu kugombea na kuwa mwenyekiti wa chama hicho na kumtaka Mbowe apunzike aachie damu changa kuongoza chama hicho
Amesema nabii Musa alifanya mambo makubwa mengi aliwatoa wana wa Israel kutoka nchi ya Misri kwenye mateso ya Farao (Firauni) mfalme wa nchi hiyo na kuwavusha kwenye bahari baadaye Mungu akamwambia Musa sasa inatosha muachie Joshua awaongoze wana wa Israel kufika Kanani
Comasava