Mdude Nyagali: Kati ya mashahidi nane kesi ya Mbowe nimewatambua ni wale walioniteka na kunitesa

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Sep 13, 2020
3,315
5,052
Screenshot_20211123-195336.png
 
Kesi ya mzee Mbowe inafichua vitu vingi sana ambavyo vilikuwa gizani, Mpaka Sasa katika watu 8 waliotoa ushahidi nimeshawatambua watu wawili walihusika na mateso dhidi yangu.Naendelea kuwakariri vizuri sura na majina yao na nitaendelea kuhudhuria mahakamani ili niwatambue wengine
Huyu punda wa ngada nae atulie.
Aliahidi atamnyoa mama kwa kutumia wembe uleule.
 
Hii kesi watajuta kuifungua.

Kesi ya Mbowe na maamuzi yalifanyika mpaka sasa, yanatosha kuifanya hii kesi kuingia katika orodha ya maajabu ya dunia.

..jitihada za Mdude kufungua kesi dhidi ya maofisa wa polisi waliomtesa zimefikia wapi?

..hili suala ni muhimu sana na ni vizuri Chadema na taasisi za kutetea HAKI wamsaidie Mdude ktk shauri lake.
 
Kesi ya mzee Mbowe inafichua vitu vingi sana ambavyo vilikuwa gizani, Mpaka Sasa katika watu 8 waliotoa ushahidi nimeshawatambua watu wawili walihusika na mateso dhidi yangu.Naendelea kuwakariri vizuri sura na majina yao na nitaendelea kuhudhuria mahakamani ili niwatambue wengineView attachment 2021234
Hawa watu wataifuta hii kesi na kuushangaza ulimwengu kwanini walikurupuka.
 
..jitihada za Mdude kufungua kesi dhidi ya maofisa wa polisi waliomtesa zimefikia wapi?

..hili suala ni muhimu sana na ni vizuri Chadema na taasisi za kutetea HAKI wamsaidie Mdude ktk shauri lake.
Hilo lipo na litaibuka likiwa limekamilika ili kupunguza mkanganyiko wa kisheria
 
Back
Top Bottom