Padri Mcharo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 1,899
- 3,683
Mapendo jamani.... Amina.
Wakuu nina mdogo wangu wa kiume (15 years) ametoka Mwanza amekuja Dar kusoma short course ya Sound Engineering pale Ilala.
Sasa tangu amefika nimeona mambo ya kiaina mpaka nashangaa...
Ni hivi............
1. Anapenda kula matapishi yake. Yaani akimaliza kula chakula, anaingiza kidole mdomoni anajichokonoa anatapikia kwenye sahani then anaanza kula matapishi hadi anamaliza.
2. Anapenda kujichokonoa uchafu na makamasi ya pua, halafu analamba kidole.
3. Anapenda kuchokonoa nta za masikio kwa njiti za kibiriti then analamba vijiti.
4. Ukimpa chai lazima atemee mate kwenye kikombe ndio aanze kunywa.
5. Akimwona mtoto ana makamasi puani anamkimbilia na kunyonya makamasi yale mpaka yanaisha.
Nimegundua hayo baada ya kukaa nae kwa takribani week mbili sasa.
Wakuu, huu ni ugonjwa ama nini.. Nifanyeje.... Nimpeleke hosp, nimpe nauli arudi Mwz ama..
Ndimi Mtumishi Mcharo
Weka pichaMapendo jamani.... Amina.

Duuuuh sitaki kuwa mnafiki uzi wako nimeshindwa kuusoma hadi mwisho...nahisi kichefuchefu

Hilo ni tatizo la kiakili, kuna wengine wanakula magodoro, sabuni na hata wengine kupenda harufu mbaya kama kinyesi, chupi chafu, kikwapa nk. Kumrudisha Mwanza utakuwa hujamsaidia kbsa. Mpeleke Muhimbili akaonane na daktari bingwa wa magonjwa ya akili.