Mchungaji Msigwa kama Kuna ubaya alikutendea Mbowe mimi Yohana namuombea Msamaha, Unamsema mno nawe ni Mchungaji wa kondoo!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
92,931
162,073
Mchungaji Msigwa jaribu kuwa Gentleman mambo ya mipasho Siyo poa Sisi ni Wanaume tena ni Wakristo

Nimeona baada ya Press ya Freeman ya Jana umemshukia kwa dharau kubwa Ukurasani kwako X

Nikukumbushe tu ulikuwa na nafasi ya uwaziri wakati Wenzako akina Katambi, Gekui, Mollel na Waitara wanaunga Juhudi lakini kwa sasa hutamuweza kamwe Steve Mengele Hata kama Madaraka Nyerere kamkataa😀

Msamehe Freeman Mbowe kama kuna lolote alikukosea kisha jikite sasa na mambo ya CCM na ikikupendeza kagombee Ubunge kwenu Makete kwa Msaidizi wa Dr Mwigullu PhD

Ulale Unono 😀🌹
 
ukweli usemwe tu gentleman,
maana hakuna namna nyingine sasa 🐒
 
Mchungaji Msigwa jaribu kuwa Gentleman mambo ya mipasho Siyo poa Sisi ni Wanaume tena ni Wakristo

Nimeona baada ya Press ya Freeman ya Jana umemshukia kwa dharau kubwa Ukurasani kwako X

Nikukumbushe tu ulikuwa na nafasi ya uwaziri wakati Wenzako akina Katambi, Gekui, Mollel na Waitara wanaunga Juhudi lakini kwa sasa hutamuweza kamwe Steve Mengele Hata kama Madaraka Nyerere kamkataa😀

Msamehe Freeman Mbowe kama kuna lolote alikukosea kisha jikite sasa na mambo ya CCM na ikikupendeza kagombee Ubunge kwenu Makete kwa Msaidizi wa Dr Mwigullu PhD

Ulale Unono 😀🌹
Makete tunailogelezea mbali hii mutu fupi.
 
Huyo msigwa anajiaibisha tu mwanaume anayesimamisha hafanyagi hivyo hata siku moja hali ukijua kabisa kuwa CCM hawana jema,Alafu wanamwita mchungaji,sijui lkn kama ni mchungaji kweli mm sifahamu.
 
Mchungaji Msigwa jaribu kuwa Gentleman mambo ya mipasho Siyo poa Sisi ni Wanaume tena ni Wakristo

Nimeona baada ya Press ya Freeman ya Jana umemshukia kwa dharau kubwa Ukurasani kwako X

Msamehe Freeman Mbowe kama kuna lolote alikukosea kisha jikite sasa na mambo ya CCM na ikikupendeza kagombee Ubunge kwenu Makete kwa Msaidizi wa Dr Mwigullu PhD

Ulale Unono 😀🌹
naunga mkono hoja Angalizo kwa Wanasiasa hamahama; Japo ni haki yenu lakini msisahau fadhila. Kuweni watu wa shukrani, mtabarikiwa sana, vinginevyo karma Itawahusu!
p
 
Back
Top Bottom