Mchungaji Msigwa: CCM inaongoza kwa utekelezaji wa Ilani barani Afrika

Waufukweni

JF-Expert Member
May 16, 2024
1,418
3,617
Wakuu

Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mchungaji Peter Msigwa amesema kuwa chama hicho (CCM) ni chama kinachoongoza kwa kutekeleza ilani barani Afrika na hilo linapelekea wananchi kukiamini chama hicho na kukichagua mara zote.

Msigwa amezungumza hayo akizungumza na wahabari Disemba 09, 2024.
 
View attachment 3173404
huyu siyo kuwa haujui ukeli, il ili mkono uende kinywani lazima Ukisha kuwa ccm ni mwendo wa zero brain, zero thinking and most important uchawa................kusema uongo, unafiki kumpendeza Samia. Ndicho anachokifanya Msigwa
1733797493107.png
 
Wakuu

Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mchungaji Peter Msigwa amesema kuwa chama hicho (CCM) ni chama kinachoongoza kwa kutekeleza ilani barani Afrika na hilo linapelekea wananchi kukiamini chama hicho na kukichagua mara zote.

Msigwa amezungumza hayo akizungumza na wahabari Disemba 09, 2024.
View attachment 3173404
Huyu mtu amerogwa! Sio Bure!
 
Angalau sasa kabaki ndani ya 'ndoa' yaani ccm.
Tuone itamchukua muda gani kutoizungumzia CHADEMA.
 
Ukweli mtupu wa wazi kabisa huo 🐒
Wakuu

Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mchungaji Peter Msigwa amesema kuwa chama hicho (CCM) ni chama kinachoongoza kwa kutekeleza ilani barani Afrika na hilo linapelekea wananchi kukiamini chama hicho na kukichagua mara zote.

Msigwa amezungumza hayo akizungumza na wahabari Disemba 09, 2024.
View attachment 3173404
l
 
Msigwa anataka kutuaminisha kuwa utrkaji na mauaji ya wanaomkosoa Rais, ilikuwa ni sehemu ya ilani ya CCM?
Kama ndivyo, hakika Msigwa ni shetani mkubwa!!
 
Mpeni uteuzi huyo

Ova
Wangempa hata ukatibu tarafa, unamtosha. Huenda akili ingetulia kidogo. Kwa sasa anahangaika kwa kuropoka vitu vya ajabu ili kuwakumbusha kuwa wamemsahau!! Na CCM nao wameshtuka kuwa aliwadanganya. Wamemwua Kibao RIP, lakini CHADEMA bado ipo, na wakati aliwaaminisha kuwa huyo asipokuwepo Duniani ndiyo mwisho wa CHADEMA. Msigwa anatembea na damu ya Ali Kibao RIP. Laana hiyo haitamwacha salama.
 
Asipokuwa makini ataishia kuwa mpiga domo tu

Ova
 
Back
Top Bottom