Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 26,434
- 19,231
Ndugu zangu Watanzania,
Mchungaji peter Msigwa anaendelea kufurahia maisha mapya ndani ya CCM,hali inayomfanya aendelee kujuta kwanini alipoteza muda kwenye chama cha CHADEMA kilichokosa muelekeo,Dira na hata sera zenye kugusa maisha ya watanzania.
Chama ambacho kimejaa udikiteta na kuendeshwa kama Sacco's au mradi wa mtu binafsi au kitega uchumi cha familia. Chama ambacho kinakwenda kwenda Utafikiri kipofu gizani ,Hakina sera wala ajenda zaidi ya kurukia rukia matukio.
Sasa mchungaji Msigwa akiwa anaendelea kuiumbua CHADEMA kwa Masuala mbalimbali mabaya ,ameposti picha hii hapa chini kama inavyoonekana.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.