Mchungaji Msigwa alitaka wagombea wawili nafasi ya Mwenyekiti Taifa

Ngongo

JF-Expert Member
Sep 20, 2008
19,637
33,522
Kwakuwa Mchg Msigwa alitaka nafasi ya Mwenyekiti Taifa CHADEMA igombewe na wagombea wawili.

Kwakuwa sasa Mchg Msigwa katimkia CCM naamini atapambana ili nafasi ya Mwenyekiti Taifa CCM wawepo wagombea wawili.

Nategemea uchaguzi wa Mwenyekiti Taifa CCM safari hii itakuwa Rais Samia na Mchg Msigwa.

Ngongo kwasasa Miembeni Zanzibar.

Pia soma
 
Is a fact reality or is reality a fact?

Kuna wakati mambo huwa yapo hivyo unavyoyaona
 
Kwakuwa Mchg Msigwa alitaka nafasi ya Mwenyekiti Taifa CHADEMA igombewe na wagombea wawili.

Kwakuwa sasa Mchg Msigwa katimkia CCM naamini atapambana ili nafasi ya Mwenyekiti Taifa CCM wawepo wagombea wawili.

Nategemea uchaguzi wa Mwenyekiti Taifa CCM safari hii itakuwa Rais Samia na Mchg Msigwa.

Ngongo kwasasa Miembeni Zanzibar.

Pia soma
Hata hivyo Chadema haijawahi kukataza mwanachama yeyote kugombea Uenyekiti wa Taifa, Uchaguzi uliopita Mwambe aliomba Uenyekiti na akavuna kitita cha kura 56
 
Kwakuwa Mchg Msigwa alitaka nafasi ya Mwenyekiti Taifa CHADEMA igombewe na wagombea wawili.

Kwakuwa sasa Mchg Msigwa katimkia CCM naamini atapambana ili nafasi ya Mwenyekiti Taifa CCM wawepo wagombea wawili.

Nategemea uchaguzi wa Mwenyekiti Taifa CCM safari hii itakuwa Rais Samia na Mchg Msigwa.

Ngongo kwasasa Miembeni Zanzibar.
Naona kuhama Msigwa imekuwa nongwa watu wasjjua siasa ambao wanachojua ni mabishano ya simba na yanga, orodha ya mahawala wa msanii fulani toka enzi na enzi na umbea lakini ghafla wamegeuka wapenzi wa siasa wanachangia utumbo. Hivi kwa nin ujilazimishe kuchangia kitu ambacho huna mapenzi nacho?

Siasa sio imani ya dini kuwa aghakabu mtu akiifuata ni vigumu kubadili. Mtu anapoamua kuwq nwanasiasa akajiunga na chama au kundi lenye mtazamo fulani anapoendelea kuwa katika siasa mawazo yake hupanuka kutokana na kuendelea kujua vitu ambavyo awali hakuvijua, mtazamo wake juu ya kile alichokuwa akikiamini huweza kubadilika hivyo inaweza kufikia hatua akaona kuwa kwake haikuwa sahihi kuwa katika chama au kundi fulani hivyo anaweza kuamua kuhama na kujiunga na chama ambacho mtazamo wake wa sasa unaendana na chama hicho.

Vile vile mtu anaweza kuingia chama kwa ajili ya malengo fulani kama vile aweze kuwa na ajira yaani siasa kwake ni ajira sio vinginevyo. Hivyo ajira inapokoma katika chama fulani huhamia chama kingine ambacho kiko tayari kumpa fursa ya muendelezo wa ajira. Vile vile vyama vya hapa Tanganyika havina tofauti za kiitikadi bali ni platform za kutafutia maslahi binafsi ndio naana ni rahisi wanasiasa wa hivyo vyama kuhama vyana vyao na kuhamia vyama vingine.

Rejea afrika kusini vyama vyote vimejipambanua kuwa vinapigania nini na ndio maana sio rahisi wanasiasa wa huko kukcross vyama. Matokeo ya uchaguzi yanewalazimisha kufanya consesus ili waunde serikali.

Nimekuwa nikihimiza watanganyika tupambanie mgombea binafsi kwa sababu ndio tumaini la kubeba ajenda za nchi na fursa kwa wazalendo kupigania masllahi ya Tanganyika lakini hoja hii haijawahi kuungwa mkono walau humu JF -achilia mbali kwa wanaharakati

Hapa kwetu maamuna yamebaki kulia na Msigwa kwa sababu hayajui siasa na yanarukia siasa wakati eneo walilo na weledi nalo ni msanii gani anatembea na nani , simba na yanga na umbea.
 
alichofanya msigwa ni kitu ambacho mtu yeyote mwenye akili angekifanya.

1. unashuhudia mtu mmoja tu kuwa mwenyekiti wa maisha wakati wapo wasomi na wenye akili na uwezo kuliko yeye.

2. unashuhudia mtu analamba asali, anatokea gerezani hadi ikulu na ananyamaza kimyaaa. kama sio yule wa awali kabisa.

3. unashuhudia unyama kwa chacha wangwe.

4. unashuhudia usaliti kumpokea lowasa na sumaye na namna dr slaa alivyoondoka.

5. unashuhudia ukabila kwenye chama.

6. unashuhudia Mrema na timu yake wamekuja eneo lako la kugombea uenyekiti nyasa, anakunywa pombe pamoja na mpinzani wako nadi saa sita usiku, unapiga kelele mwenyekiti wako kimyaaa, na inasemekana mwenyekiti kaagiza wewe ndio uchinjiliwe mbali kwenye kinyang'anyiro.

7. wajumbe wawili waliotakiwa kupiga kura hawajapiga ili wewe ushindwe.

8. uchaguzi unaisha, unalalamika, lakini kimyaaa kwa king mbowe.

9. na siri nyingii ambazo anazo atazimwaga wakati wa kampeni mwakani.

10. Tundu Lisu hana hata gari wakati yeye ndiye mpiganaji mkuu kuliko hata mbowe, hadi anachangiwa kununua gari, hata mbowe hapigi changizo wakati kuna pesa kibao za ruzuku kutokana na covid 19.

kwa kifupi, hata Tundu Lisu, anakosa tu pa kwenda, amekichoka chama, amemchoka mbowe, amechoka ukabila. kungekuwa na chama kingine nje ya ccm, Tundu Lisu angeshaenda kitambo sana. na Tundu Lisu naye, ni mwanadamu, naamini uzalendo utamshinda muda si mrefu, atajiunga na ccm kwasababu hana chama kingine kwa sasa, chadema imemwacha kama anapambana peke yake na mwenyekiti inaonekana zile asali huwa hamgawii.

hivi ungekuwa wewe ndio msigwa, ungefanya nini?
 
Naona kuhama Msigwa imekuwa nongwa watu wasjjua siasa ambao wanachojua ni mabishano ya simba na yanga, orodha ya mahawala wa msanii fulani toka enzi na enzi na umbea lakini ghafla wamegeuka wapenzi wa siasa wanachangia utumbo. Hivi kwa nin ujilazimishe kuchangia kitu ambacho huna mapenzi nacho?

Siasa sio imani ya dini kuwa aghakabu mtu akiifuata ni vigumu kubadili. Mtu anapoamua kuwq nwanasiasa akajiunga na chama au kundi lenye mtazamo fulani anapoendelea kuwa katika siasa mawazo yake hupanuka kutokana na kuendelea kujua vitu ambavyo awali hakuvijua, mtazamo wake juu ya kile alichokuwa akikiamini huweza kubadilika hivyo inaweza kufikia hatua akaona kuwa kwake haikuwa sahihi kuwa katika chama au kundi fulani hivyo anaweza kuamua kuhama na kujiunga na chama ambacho mtazamo wake wa sasa unaendana na chama hicho.

Vile vile mtu anaweza kuingia chama kwa ajili ya malengo fulani kama vile aweze kuwa na ajira yaani siasa kwake ni ajira sio vinginevyo. Hivyo ajira inapokoma katika chama fulani huhamia chama kingine ambacho kiko tayari kumpa fursa ya muendelezo wa ajira. Vile vile vyama vya hapa Tanganyika havina tofauti za kiitikadi bali ni platform za kutafutia maslahi binafsi ndio naana ni rahisi wanasiasa wa hivyo vyama kuhama vyana vyao na kuhamia vyama vingine.

Rejea afrika kusini vyama vyote vimejipambanua kuwa vinapigania nini na ndio maana sio rahisi wanasiasa wa huko kukcross vyama. Matokeo ya uchaguzi yanewalazimisha kufanya consesus ili waunde serikali.

Nimekuwa nikihimiza watanganyika tupambanie mgombea binafsi kwa sababu ndio tumaini la kubeba ajenda za nchi na fursa kwa wazalendo kupigania masllahi ya Tanganyika lakini hoja hii haijawahi kuungwa mkono walau humu JF -achilia mbali kwa wanaharakati

Hapa kwetu maamuna yamebaki kulia na Msigwa kwa sababu hayajui siasa na yanarukia siasa wakati eneo walilo na weledi nalo ni msanii gani anatembea na nani , simba na yanga na umbea.
Maneno yote haya unaandika kumueleza Ngongo au kumueleza nani humu ambae unahisi ni poyoyo wa level yako?
 
Watu wajinga wajinga kama hawa siwapi nafasi ya kuwajibu chochote nawapotezea.
 
Back
Top Bottom