namanyele
JF-Expert Member
- Oct 19, 2012
- 1,852
- 610
Habari wanajamvi,
Miezi kadhaa sasa imepita tangu mch. Lusekelo alipokumbwa na kasfa ya kutumia pombe na kulewa asubuhi chakari kitu kilichomfanya aporomoshe matusi kwa majirani zake.
Kifupi alitoa tamko kanisani kwake kwamba wale wote waandishi wa habari walio mwandika vibaya kufika mwezi wa 3 mwaka 2017 watakuwa wameshakufa. Kama wasipokufa basi hana haja ya kuendela kuwa mtumishi wa Mungu na atakuwa muuza gongo.
Namuuliza mbona kimya mpaka sasa ?, je umeshaanza mchakato wa kuuza hiyo gongo