Mchungaji Lusekelo: Mungu aliwaagiza Wafalme Kuongoza kwa kutegemea Kodi na Viongozi wa Dini kutegemea Sadaka!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
90,024
156,163
Mchungaji Lusekelo amesema kama ambavyo Biblia imeagiza Watu walipe Kodi kwa Serikali vivyo hivyo imeagiza Waumini kutokwenda Mikono mitupu Makanisani

Mzee wa Upako amesisitiza kuwa Kutoza Sadaka ni swala la Makubaliano na Kiimani pia hivyo liheshimiwe

Source: WASAFI FM

Jumaa Mubarak ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Wajinga ndiyo waliwao
 
Kuna mtu bado anaenda kwenye kanisa la huyu bwana
 
Mchungaji Lusekelo amesema kama ambavyo Biblia imeagiza Watu walipe Kodi kwa Serikali vivyo hivyo imeagiza Waumini kutokwenda Mikono mitupu Makanisani

Mzee wa Upako amesisitiza kuwa Kutoza Sadaka ni swala la Makubaliano na Kiimani pia hivyo liheshimiwe

Source: WASAFI FM

Jumaa Mubarak ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Jo najua wewe unajua Kiswahili fasaha, hebu nisaidie ile hela anayolipwa mganga wa jadi baada ya kumuagua mgomjwa inaitwaje? Ni kosa kuita sadaka ile hela wanayakamuliwa wajinga wanaouziwa mafuta, chumvi,keki na maji ya upako.
 
Ameongelea vizuri pombe, kwa niaba yangu na wengine tunao kunywa, tunampa kongole, adumu mzee wa upako
 
Ni sahihi. Sadaka lazima mtupe watumishi.

Maandiko yanase.a usiende kwa Bwana mikono mitupu.
Shida ni pale mnapopanga kiwango cha sadaka,ukiwa na ndogo hampokei mnataka zilizonona,na kale ka utaratibu kenu ka bahasha kila mkihubiri,hivi ukienda mahubiri 10 kwa mwezi utabaki na kitu kweli...?
 
Sadaka yenye kuleta matokeo ni saka iliyonona sio makapi. Hautoi sadaka kwa sababu mimi nataka unatoa kwa sababu Mungu kasema unipe.

Sadaka haipaswi kulazimishwa, inapaswa kufundishwa. Sadaka inayotolewa kwa hiyari huleta furaha hata ukiwa katika hali ngumu.
 
Mchungaji Lusekelo amesema kama ambavyo Biblia imeagiza Watu walipe Kodi kwa Serikali vivyo hivyo imeagiza Waumini kutokwenda Mikono mitupu Makanisani

Mzee wa Upako amesisitiza kuwa Kutoza Sadaka ni swala la Makubaliano na Kiimani pia hivyo liheshimiwe

Source: WASAFI FM

Jumaa Mubarak ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Ni kutaka kupotoka kumsikiliza huyu jamaa. Baadhi ya mafundisho anayotoa ni out of context na pia non-exegetical (eisegesis) and likely to mislead.
 
Back
Top Bottom