Mteja wangu kaniandikia ujumbe ufuatao:- "Kungwi nina mhumba wangu kakulia hapa hapa mjini, siyo mshamba wa mji. Lkn shule aliishia form 2D (nadhani unajua uwezo wa kiakili wa wanafunzi wanaowekwa stream D). Hakuweza kuendelea baada wazazi wake kufariki.
Mchumba huyu ana sifa zote, tatizo lake ni kwamba atakapokuwa mke hakuna mishe anaweza kuifanya hapa mjini. Biashara yoyote hawezi kwasabb kwake yeye kutoa chenji ni mtihani.
Lkn sifa nyingine zote zinazotakiwa kwa mke huyu mchumba anazo.
Tafadhali kungwi naomba ushauri nioe au nimuache??" Alimaliza kuandika mteja wangu.
Kungwi Sexless :Nipeni points za kumpa huyu mteja.