Mchumba wangu ana matatizo ya kutoa vitu vyeupe kama maziwa ya mgando sehemu za siri

Mkuu ningekuwa nimewah fanya tendo la ndoa ningekushauri mkuu.ila bado silijui hilo tendo.maana naona wengi wanakucheka tu.kama unaona siyo sawa jaribu hosptali mapema
wanionea mkuu
 
Hiyo ni kawaida Sana inaashiria hatumiki Sana afu ana nyege nying ndo maana inatokea hivo
 
Sijakuelewa umezungumzia vitu viwili 1 utelezi mweupe 2 majimaji meupe haviendi pamoja tenganisha tujue sahihi ni ipi
 
Maliza kusoma kwanza dogo ndiyo uje huku
 
Mkuu hata mimi nimewahi kushuhudia kitu kama hicho kwa wadada kadhaa niliowahi kujihisisha nao.

Wengine wanasema ni UGONJWA yaani kama fangus flani ya huko ukeni. Ila ukitaka kujua kama ni ugonjwa hembu jaribuni kufuatilia chupi zake anapozivaa siku nzima je akiivua jioni anakuta uchafu kama huo??

Wengine wanasema demu akiwa kwenye tendo na akalifurahia sana basi hutokwa na vitu kama hivyo..

Yote yanaweza yakawa majibu ila kwa majibu mazuri ya UHAKIKA nakushaurini wewe na Mkeo mngeenda kumuona DOCTOR na kumuelezea tatizo lenu na mkafanyiwa vipimo. Ingekuwa poa zaidi. Na naomba ukienda kwa dokta uniletee mrejesho mkuu
 
 
Usisahau kumwambia atafute dokta mwanamke, akimkuta mwanaume zamu aahirishe zoezi
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…