Mchumba/mke anahitajika

CMT

Senior Member
Apr 29, 2016
172
87
Mimi ni kijana wa kiume nnaejielewa vzuri tu. Natafuta mchumba awe na umri kuanzia 24-30yrs, elimu kuanzia kidato cha nne, awe mkristo na mkazi wa Dar es salaam. Its seriously wanajamvi tuache masihara. Ni pm plz
 
Lete lete walimu me ndo nawapenda kwa nidhamu wanajitahd
 
Lete lete walimu me ndo nawapenda kwa nidhamu wanajitahd
Acha papara wewe utaopoa visivyoopolewa. Kuna wadada wengine hawajaolewa lakini wana watoto mpaka wanne au watano. Utabeba hivyo hivyo? Tulia na kuwa makini maana majuto ni mjukuu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…