Mchumba mkaka wa kiislam

GShekha

New Member
May 5, 2017
1
9
Hello!

Habari za wakati huu wapendwa,

Niko hapa kwa ajili ya kutafuta rafiki ambae tukifikia maafikiano tunaweza kundelea na process za uchumba mpaka ndoa.

Sifa za anayetafutwa:-
Kijana wa kiislam mwenye hofu na Mungu, Age kuanzia 28-35, Elimu at least awe University graduate mwenye kujitambua, awe ameajiriwa au amejiajiri.

Inshort kuhusu mimi ni binti wa kiislam, umri wangu ni miaka 26. Currently nafanya kazi sehemu part-time na ni mwanafunzi pia(Third year).

Kuna mengi kuhusu mimi lakini yote siwezi kuyaweka kwenye uzi huu. Kama utakuwa interested karibu PM kwa maelezo na kujuana zaidi.

Asante.
 
Dini imenikosesha mchumba!!!
Pouwa tu ila harusini ntafika nikipewa Mwaliko.
All the best.
 
Sizani kama utapata kwa stahili hii hapo uantafuta mpenzi kwa vogezo je tabia yake au undani wake utaujua fiki kabla ya kuandika
 
Reactions: SDG
upo wapi, currently!
 
Duh kwa sifa izo sidhani kama utapata mchumba hv kwa akili yako eti mtu asome hadi chuo kikuu asipate mchumba aje akuoe ww ambae umesoma chuo hujapata mchumba utaishia kipigwa miti na kuachwa na utazaa mtoto asiekuwa na baba
 
Nimekupm
 
Pole khajat
Kulingana na Uzi huu inaonyesha unatafuta Mme ATM sidhani kama mchamungu utampata kwa kigezo chako cha masters
Muhimu urejee katika silisila za dini yako
Khasa kuhusu kijana alie ozeshwa na waziri mmoja katika utawala wa Omary bun Abdul Azizi
Kijana huyu hakuwa mjuzi wa elimu wala hakuwa na wingi wa Mali
Siku moja katika darsa alimueleza mudaris kuhusu sifa za mkewe ambae alikuwa amefariki kwa jinsi alivyo mtunza mama mzazi wa kijana huyo
Mke huyo hakuongea ila kile kilichotajwa na Allah
Hakuvaa ila kwa amri ya Allah
Hakutembea ila kwa mafundisho ya Surat Ruqman
Moyo wake ulijaa subra juu ya allah
Ni kisa kirefu
Lakini baada yakueleza kisa hicho yule waziri alimuozesha binti yake yule kijana kwa kutegemea fadhira na hikma za kijana yule juu ya mkewe
Mwanaume hata kama hajui a bado atakuwa bora kwa mke kama atakuwa na khofu na allah
 
Ajasema masters
 
Dada nakushauri labda uzae wako, wewe bado ni mwanafunzi kusoma kote unawaza mwanaume kweli wanawake ni. Viatuuu, isitoshe mtu wa hivo huwez mpata, pili utasota sana kwa maana umeshindwa kumuhusisha MUNGU wako juu hilo
 
Reactions: SDG
Ni PM tuyajenge madam. Vigezo vyote ninavyo.
 
Ni Darasa tosha kabisa mkuu.

Na imani Uislamu una miongozo yake,
Inshallah Mungu atufanyie wepesi ktk kutekeleza majukumu.
 
Ktk orodha yako ya vigezo ni elimu tuu imenifanya kutotimiza matakwa yako.
Ila kama upo serious nicheki pm,
Na kama haukuridhika kisa kutokizi elimu basi nakutakia kila la kheri katika kumtafuta umpendae....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…