Habari...
Naitwa Richard, Humphrey nina miaka 26, naishi Tabata natafuta mwanamke atakaekuja kuwa mama watoto kama Mungu atapenda awe na sifa zifuatazo:
1. Mcha Mungu japo hata kidogo.
2. Mkweli na mcheshi.
3. Mpole na mwenye upendo wa dhati na mvumilivu
4. Msikivu na mpenda maendeleo.
Kwa aliyetayari please ni PM au tuwasiliane kwa namba 0623-012068
Asante.