Mchezo wa mpira wa magongo kwenye barafu watoto wajitokeza kufanya mazoezi

ldleo

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
1,099
1,095
Kwenye uwanja wa barafu katika bustani ya vijana ya Shenyang, kikundi cha vijana walikuwa wakifanya mazoezi ya mchezo wa mpira wa magongo kwenye barafu chini ya uongozi wa kocha.

Kutokana na michezo ya majira ya baridi kukaribishwa nchini China, watoto wengi zaidi wanashiriki kwenye mchezo wa mpira wa magongo kwenye barafu.

274232450_4666274273483849_890658219588642353_n.jpg
 
Back
Top Bottom