Boran Jakutay
Senior Member
- Apr 8, 2023
- 110
- 258
MOROGORO: Kocha na mchezaji wa zamani wa Pamba SC, Simba SC na Taifa Stars, Amri Ibrahim amekutwa amefariki jioni ya jana Jumamosi Aprili 08, 2023 baada ya majirani kuona hajatoka nje kwa muda mrefu, wakalazimika kuita mwenyekiti wa mtaa na kubaini kuwa amefariki.
Baadaye polisi walifika na kuchukua mwili na kuupeleka mortuary na kufanya taratibu za ndugu kwa ajili ya maziko.
Kwa bahati mbaya alikuwa akiishi peke yake maeneo ya jirani na kituo cha Polisi cha Sabasaba. Hapa Morogoro au Foreign Pub.
Amri Ibrahim ni mmoja kati ya viungo washambuliaji bora waliowahi kutokea hapa Tanzania.
Ni mipango ya Mungu mwenzetu amemaliza majukumu yake hapa duniani nasi tuko nyuma yake. Mwenyezi Mungu amlaze mahala pema peponi.
Bwana Ametoa na Bwana Ametwaa jina lake Lihimidiwe Apumzike kwa Amani.
Tuseme Innalilah waina ilaih rajiun.