Malaika wa Misukosuko
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 2,276
- 6,840
Habari Wakuu,
nimeona nisiwe mnafiki kuwahabarisha mapema juu ya ujio wa huyu Miquissone mwingne aliyechangamka asije mkasema ohhh wana JF nyie ni watafiti mmeshindwa kufatilia Data za huyu mtu mkatuambia mapema tusiweke tumaini hewa juu ya huyu mtu.
Hii "Colombia invasion" itakuja kumuingiza mtu mkenge maana Baad ya kupata tetesi za usajili wa huyu mchezaji anayechezea klabu ya comerciantes Ligue 2, ikabidi niingie Chimbo kutafuta data za huyu mtu maan dunia ni kama kijiji.....La haula nilichokutana nacho kinasikitisha pamoja na kukera kwa pamoja,
Huyo mchezaji ni ana historia mbaya kwenye career yake sijapata ona, kwanza tangu kaanza kucheza mpira katika maisha yake mnamo mwaka 2016 mpaka leo hii 2023 ana idadi ya magoli 10 tu, Ndiyo hujasoma vibaya ni (Magoli 10) tu, cha kusikitisha zaidi huyu mtu ni straika.
Na cha kusikitisha zaidi Mwaka huu 2023 kacheza jumla ya mechi 22 Ila ana magoli 2 pekee Assist 0, ila cha kustajabisha zaidi Mchezaji huyu ana Kadi za njano Tatu mwaka huu ambazo ni nyingi kuliko idadi yake ya magoli.,
Kiufupi hakuna mchezqji hapo labda atakuja kubadilika kwenye ligi letu ila kiufupi tusijiwekee matumani makubwa endapo mchezaji huyu akisajiliwa Simba, Mimi ni shabiki wa Simba ila huu uhuni umeniumiza sana
Kuhusu yule mchezaji wa Colombia Franklin cannavaro aliyesajiliwa na Azam huyo yeye ndo nimetafuta Data zake hadi simu ilikuwa imejaa chaji mia mpaka ikaisha ila sijaziona.
Chini ni Picha za rekodi kuhusu Mchezaji anayetarajiwa kusajiliwa na Simba.
vv