sajumo
JF-Expert Member
- Nov 20, 2013
- 1,834
- 1,056
Mm ni miongon mwa watu wanaomini kamali Ina shetani mbaya Sana ambaye huyakontrol maisha ya wachezaji kamali.
Siku moja mcheza kamali mmoja alicheza kamali akaliwa hela .mpaka ya kula akalala na njaa ilhali alikua na hela nying tu siku ya pili akaja akiwa amekasilika akaniambia mm kamali naacha nkamwambia wewe nnayekujua mm huwez akanambia na acha Kama unabisha tuweke dau nkamuuliza sh ngapi ngapi akajibu alfu hamsini akatia mkono mfukon akaanza kutoa pesa
Hapa nkagundua huyu MTU Ana kamaliasyndrom
Sent from my RIDGE 4G using JamiiForums mobile app