Mchepuko wa kiume unaombaomba sana pesa hii imekaaje?

Unataka mapenzi ya dhati kwa mchepuko? Penzi la mchepuko siku zote ni penzi fabricated, penzi la kisanii, la kuungaunga lisilo na mizizi wala kutakiwa kuwa na mzizi wowote.

Unachokitaka wewe kwa huyo mchepuko ni kutengeneza mizizi, ikikomaa utajuta, mwenzio ana akili anafanya mambo yake kisanii ilimradi penzi lenu la maigizo liendelee kuishi mpaka siku ya kifo chake itakapofika, wewe na kutaka kwako penzi lenu liishi milele nakwambia tena; utajuta.

Usilazimishe kufuata sheria kwenye penzi lenu lililovunja sheria, mwenzio tayari anajua hilo wewe ndie bado unashangaa shangaa..
 
Jamani we mwanamke tshs 12000 ndo unitangaze hadi huku? We umekula zangu ngapi? Kwanza nnampango wa kukupeleka mahakamani kwa jinsi unavyonitumia hadi nimekonda utadhani hilo jukumu nipo peke yangu na akati sijui tupo wangapi akiwemo na mumeo.
 
Back
Top Bottom