Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 32,386
- 47,160
Ukiwapatia huduma tu,muda wowote unakuwa unagonga unavyotakaKweli kabisa unayo yaongea huduma muhimu sana
Mchepuko umepagawa na huduma.
Kutokana na ninavyomjali; , chuo, matibabu n.k sasa hivi amechanganyikiwa kabisa. Ananiuliza 'nilikuwa wapi siku zote hadi nikaolewa na yule mbulula'. Mbaya zaidi sasa ananiita mume na ananisihi kama ikiwezekana awe mke wa pili. Mi nabaki kumuitikia tu sawa,muda ukifika tutafanya hivyo ingawa najua itakuwa ngumu kuja kuhalalisha kuwa mke wa pili. Nilichogundua hawa viumbe ukiwapa huduma staiki; staili zote utapewa na majina ya kila namna ya kimahaba utapata. Ila usipotekeleza mahitaji yao....utakuwa unabaniwa mechi hadi kuhisi dunia imekutenga.
ha ha ha haPole sana mkuu, na ninakusikitikia sana kwa jinsi ulivyo na high level of stupidity.....
Yaani unaibiwa na mchepuko alafu unakuja kujisifia mbele ya wanaume...!!
Hivi wanaume tutabadilika lini..??
Maana hapo nina hakika wewe ni wakumuhudumia, alafu yupo dogo mwingine kwaajili ya kumkaza. Na inawezekana mchepuko ulisha kutambulisha kwa huyo dogo kwamba ni classmet wake.
Anyway, siku yakikukuta usije tu ukatumia bastola kama wenzako....
Sijajua mkuu,anayepata k muda wote au anayepata huduma?Sasa hapo mjanja nani
Anayepata huduma.Sijajua mkuu,anayepata k muda wote au anayepata huduma?
sahihi kabisa!!!!Mali nyingi hukupa mke feki lkn uhalisia hukupa mke mwenye penzi la kweli
ha ha ha ha kupata raha kwa kitu kizuri ni muhimu piaTumia nafasi yako vizuri for now.
Alivyobarikiwa anastailiAnayepata huduma.
Kweli mkuu,hapo nafuata chakula kilichoandaliwa kwenye sahani ya udongoMali nyingi hukupa mke feki lkn uhalisia hukupa mke mwenye penzi la kweli
Kwa nini mkuu?WEE JAMAA NAKUSIKITIKIA KWAKWELI
Take careKwa nini mkuu?
Muhimu mnoha ha ha ha kupata raha kwa kitu kizuri ni muhimu pia
KomaaAlivyobarikiwa anastaili