Wazabanga kuku
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 264
- 378
Mkuu.......Kwahiyo mwenye nyumba wako anakuita wewe mteja?
Na anasema by utawala?
Hii picha ilitrend whatsapp mwaka jana.
Mods Uzi uende jukwaa la jokes
Duh mwanangu wa uchagani upo?Mkuu.......
Punguza kukosoa sana watu na kufuatilia watu, posti nyingi za wana jf unawakosoa vibaya, na kwa kejeli. Acha kabisa mkuu. Badilika.