Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,498
- 7,065
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohammed Mchengerwa, leo amefichua kuwa malumbano ya kiuongozi katika utekelezaji wa mradi mmoja yalikwamisha maendeleo kwa kipindi kirefu hadi pale Waziri Mkuu alipoingilia kati mwaka 2023.
Akizungumza mbele ya Bunge, Waziri Mchengerwa amesema:
"Malumbano hayo yalipelekea mradi kusimama kwa muda mrefu mpaka mwaka 2023 baada ya Mheshimiwa Waziri Mkuu kuingilia kati na baadhi ya watumishi kushtakiwa. Kamati ya Fedha, mbunge alikuwa ni mjumbe wa Kamati ya Fedha wakati huo, hakushiriki kikao husika kwa ruhusa lakini posho alichukua..."
Soma, Pia: Spika Dkt. Tulia awapeleka Gambo na Mchengerwa kamati ya Maadili, mvutano watokea Bungeni