Mchango wa gari ya Tundu Antipas Lisu wafikia tsh 76,615,957 hadi Leo siku ya Bajeti za Nchi za Africa Mashariki

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
94,036
164,322
Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu ametoa taarifa ya Michango ya Gari hadi Leo hii

Jumla ya Michango ni tsh 76,615,957 ambapo kwa wastani ni sawa na tsh 3,192,332 kwa siku

Mungu awabariki wote waliochangia kwa moyo wa upendo

Michango inaendelea 😄😄

Kwako Lucas na Wenye Wivu wote 🐼
 
Naona mna matatizo yanayowasumbua .mngekuwa na akili na kujitambua mngejiuliza ni kwanini mpaka sasa mmeshindwa kuwa mmefikisha hata walau millioni mia moja? Kwa sababu kama watu laki moja tu wangetoa kila mtu Elfu moja tu maana yake mpaka sasa ingekuwa imepatikana Million mia moja.

1000x100,000=100,000,000/=

Lakini cha kushangaza mpaka sasa michango Inaendelea kusuasua tu.lakini pia jiulize ni watu wangapi wamechanga? Hapo ndipo utakapoana na kutambua ya kuwa Lissu hakubaliki kabisa kwa watu. Kwa sababu hata watu elfu kumi na mbili hawajafika.

Sasa jiulize inawezekanaje mwanasiasa unayesema una ushawishi mkubwa kwa watu,lakini unakosa watu hata elfu 12 tu wa kukuchangia? Lissu haoni kuwa kapuuzwa na hana ushawishi kwa watu?

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.mimi naamini kuwa kama Mheshimiwa Mbowe angeomba michango kwa watu basi mpaka saizi angekuwa amekusanya zaidi ya Billion moja.jiulize tu kanisani kkkt kupitia wadau wake alikusanya shilingi ngapi?
 
WIVU TU JITU ZIMA UNASHINDANA NA DADA ZAKO KUGOMBANIA GEARBOX ZA WANAUME
 
Mbowe aliyetolewa Jela kwa Mchango wa Shujaa Magufuli na family ya mchungaji Msigwa?!🐼

We kid huna tofauti na Simbilisi 😂
 
Naona mna matatizo yanayowasumbua .mngekuwa na akili na kujitambua mngejiuliza ni kwanini mpaka sasa mmeshindwa kuwa mmefikisha hata walau millioni mia moja? Kwa sababu kama watu laki moja tu wangetoa kila mtu Elfu moja tu maana yake mpaka sasa ingekuwa imepatikana Million mia moja.

1000x100,000=100,000,000/=

Lakini cha kushangaza mpaka sasa michango Inaendelea kusuasua tu.lakini pia jiulize ni watu wangapi wamechanga? Hapo ndipo utakapoana na kutambua ya kuwa Lissu hakubaliki kabisa kwa watu. Kwa sababu hata watu elfu kumi na mbili hawajafika.

Sasa jiulize inawezekanaje mwanasiasa unayesema una ushawishi mkubwa kwa watu,lakini unakosa watu hata elfu 12 tu wa kukuchangia? Lissu haoni kuwa kapuuzwa na hana ushawishi kwa watu?

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.mimi naamini kuwa kama Mheshimiwa Mbowe angeomba michango kwa watu basi mpaka saizi angekuwa amekusanya zaidi ya Billion moja.jiulize tu kanisani kkkt kupitia wadau wake alikusanya shilingi ngapi?
Mkuu unakula bangi ya wapi hii? Sio mchezo
 
Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu ametoa taarifa ya Michango ya Gari hadi Leo hii

Jumla ya Michango ni tsh 76,615,957 ambapo kwa wastani ni sawa na tsh 3,192,332 kwa siku

Mungu awabariki wote waliochangia kwa moyo wa upendo

Michango inaendelea 😄😄

Kwako Lucas na Wenye Wivu wote 🐼
PS yupo busy anachapa barua za Katibu wake mpk jioni aachiwe modem
 
Naona mna matatizo yanayowasumbua .mngekuwa na akili na kujitambua mngejiuliza ni kwanini mpaka sasa mmeshindwa kuwa mmefikisha hata walau millioni mia moja? Kwa sababu kama watu laki moja tu wangetoa kila mtu Elfu moja tu maana yake mpaka sasa ingekuwa imepatikana Million mia moja.

1000x100,000=100,000,000/=

Lakini cha kushangaza mpaka sasa michango Inaendelea kusuasua tu.lakini pia jiulize ni watu wangapi wamechanga? Hapo ndipo utakapoana na kutambua ya kuwa Lissu hakubaliki kabisa kwa watu. Kwa sababu hata watu elfu kumi na mbili hawajafika.

Sasa jiulize inawezekanaje mwanasiasa unayesema una ushawishi mkubwa kwa watu,lakini unakosa watu hata elfu 12 tu wa kukuchangia? Lissu haoni kuwa kapuuzwa na hana ushawishi kwa watu?

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.mimi naamini kuwa kama Mheshimiwa Mbowe angeomba michango kwa watu basi mpaka saizi angekuwa amekusanya zaidi ya Billion moja.jiulize tu kanisani kkkt kupitia wadau wake alikusanya shilingi ngapi?
Lisu hachangiwi na wauza unga Wala majizi ya ccm, anachangiwa na sisi wenye vipato halali vya chini. Mbowe hata akitaka kuchangiwa bado atachangiwa kama Lisu, labda majizi, wauza unga, na wakwepa kodi wa ccm watamchangia haraka sio kwa sababu wanakubali, Bali ni kwakuwa kajisalimisha kwa bibi mkojani. Lisu hataki hela za hao mliowauzia bandari na mbuga zetu.
 
Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu ametoa taarifa ya Michango ya Gari hadi Leo hii

Jumla ya Michango ni tsh 76,615,957 ambapo kwa wastani ni sawa na tsh 3,192,332 kwa siku

Mungu awabariki wote waliochangia kwa moyo wa upendo

Michango inaendelea 😄😄

Kwako Lucas na Wenye Wivu wote 🐼
Astakafilahh kimasihala masihala jamaa ananunua shangingi
 
Naona mna matatizo yanayowasumbua .mngekuwa na akili na kujitambua mngejiuliza ni kwanini mpaka sasa mmeshindwa kuwa mmefikisha hata walau millioni mia moja? Kwa sababu kama watu laki moja tu wangetoa kila mtu Elfu moja tu maana yake mpaka sasa ingekuwa imepatikana Million mia moja.

1000x100,000=100,000,000/=

Lakini cha kushangaza mpaka sasa michango Inaendelea kusuasua tu.lakini pia jiulize ni watu wangapi wamechanga? Hapo ndipo utakapoana na kutambua ya kuwa Lissu hakubaliki kabisa kwa watu. Kwa sababu hata watu elfu kumi na mbili hawajafika.

Sasa jiulize inawezekanaje mwanasiasa unayesema una ushawishi mkubwa kwa watu,lakini unakosa watu hata elfu 12 tu wa kukuchangia? Lissu haoni kuwa kapuuzwa na hana ushawishi kwa watu?

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.mimi naamini kuwa kama Mheshimiwa Mbowe angeomba michango kwa watu basi mpaka saizi angekuwa amekusanya zaidi ya Billion moja.jiulize tu kanisani kkkt kupitia wadau wake alikusanya shilingi ngapi?
Mkubwa wewe ndiye hasa huna akili..

Hii ni dalili ya mwanzo tu ya kuweweseka. Na utaendelea kuweweseka sana na mpaka utaukimbia uchawa..
============================================
Hizi pesa zimechangwa na watu wa kawaida sana..

Range ya michango hii ni kati ya Shilingi 100 na 10,000...

Maana yake wengi waliochanga ni wa kiwango cha 100, 200, 500,1000 na kuendelea na wachache sana walioweza kutoa kiasi cha zaidi ya 10,000...

Na michango inaendelea..

Kama kwa kika siku tunachanga 3,200,000 na hii karibu milioni 76 ni ya wiki mbili tu, unadhani baada ya mwezi au miezi miwili tutakuwa shilingi ngapi?

Endelea kuweweseka swine wewe..
 
Mkuu sio kweli Lema peke yake katoa milioni 5
 
Kwa maoni yangu Lissu ananunue gari ya milioni 50 - 60 atapata gari nzuri tena ya viwango, aachane na V8 kwa za majangili ya CCM.
Tuna kazi kubwa mzee mwaka huu na mwakani..

Gari ya bei hiyo ni used. Huyu mwamba anahitaji gari mpya (brand new) itakayomwezesha kuzunguka nchi nzima bila shida mwaka huu 2024 na mwaka kesho 2025 ambao ni mwaka busy na muhimu zaidi..

We can do it. Usiogope..
 
Nakubali lakini Makamu Mwenyekiti anatumia gari la chama na siyo lake binafsi
 
Back
Top Bottom