OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,090
- 114,639
Mkuu shukrani sana kwa ufafanuzi ulioshiba,hao ma ccm hata wafanyeje kipigo kipo palepaleTamisemi wameongeza Wilaya mpya ya Ubungo na Kigamboni.Hivyo kulazimu uchaguzi wa mameya wa Kinondoni na Ubungo kurudiwa.UKAWA tuko makini kupambana na hujuma na fitna zozote na CCM.Madiwani ni kama ifuatavyo,Kinondoni:
CDM Madiwani 10 na wabunge 2,
CCM madiwani 10 + wabunge 0,
Wilaya mpya ya Ubungo:
CDM Madiwani 11 + wabunge 2
CCM madiwani 2 + wabunge 0
Mtahamisha sana Magoli lakini tutawapiga tu hakuna jinsi
Tamisemi wameongeza Wilaya mpya ya Ubungo na Kigamboni.Hivyo kulazimu uchaguzi wa mameya wa Kinondoni na Ubungo kurudiwa.UKAWA tuko makini kupambana na hujuma na fitna zozote na CCM.Madiwani ni kama ifuatavyo,Kinondoni:
CDM Madiwani 10 na wabunge 2,
CCM madiwani 10 + wabunge 0,
Wilaya mpya ya Ubungo:
CDM Madiwani 11 + wabunge 2
CCM madiwani 2 + wabunge 0
Mtahamisha sana Magoli lakini tutawapiga tu hakuna jinsi
Huyu bibi kumbe bado yupo nilidhani amepotea baada ya kusemekana ile posho ya buku 7 imekatwa.Naona mnajitekenya wenyewe na kucheka wenyewe.
Kweli manyumbu utayajuwa tu.
Kinondoni kwa heri ya kuonana!Watateuliwa watatu tu hapo wakiwamo na wa viti maalum kwisha habariTamisemi wameongeza Wilaya mpya ya Ubungo na Kigamboni.Hivyo kulazimu uchaguzi wa mameya wa Kinondoni na Ubungo kurudiwa.UKAWA tuko makini kupambana na hujuma na fitna zozote na CCM.Madiwani ni kama ifuatavyo,Kinondoni:
CDM Madiwani 10 na wabunge 2,
CCM madiwani 10 + wabunge 0,
Wilaya mpya ya Ubungo:
CDM Madiwani 11 + wabunge 2
CCM madiwani 2 + wabunge 0
Mtahamisha sana Magoli lakini tutawapiga tu hakuna jinsi
Huyu bibi kumbe bado yupo nilidhani amepotea baada ya kusemekana ile posho ya buku 7 imekatwa.
KWELI DADA AKILI YAKO NJEMA CCM INAISHI KINYUMBU NYUMBU !!!!Naona mnajitekenya wenyewe na kucheka wenyewe.
Kweli manyumbu utayajuwa tu.
KWELI DADA AKILI YAKO NJEMA CCM INAISHI KINYUMBU NYUMBU !!!!