Mchakato wa Kung'oa Naibu Rais wa Kenya Gachagua Washika Kasi.Mwanamama Mshirika wa Odinga Anatajwa Kuchukua Nafasi Yake.

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
59,001
69,668
Bwana Naibu Rais Gachagua ameshindwa kuendana na Rais Ruto hivyo inafanyika mbinu Kumuangamiza Kisiasa.

Bwana Gachagua amekuwa akilalamika kwamba Serikali inatumia Vyombo.vya Dola Kunyanyaswa washirika wake wakiwepo Wabunge kadhaa ambao wamefunguliwa mashtaka kwa.madai ya kugadhi maandamano.

Wakati hayo yakiendelea Mwanamama ambae ni Mshirikia wa Odinga na Gavana Anatajwa kupigiwa Chapuo na Wabunge.

View: https://www.instagram.com/p/DAZFHyXNBQ2/?igsh=OGdremppZGJiY2p6

My Take
Kenya ni Moja ya Taifa yenye Katiba ya Hovyo sana.

Pamoja na makelele ya Chadema kutokea mfano Kenya ila ukweli ni kwamba Katiba Bado inampa Nguvu Rais kuingilia mambo mengi sana.

View: https://x.com/Kenyans/status/1839609041342939608?s=19
 
Advocating for his impeachement on the following grounds: 1. Demeaning the presidence. 2. Ethinic agenda, pulling towards his Mount Kenyaas if he is DP for Mt Kenya 3. Disclosing to the public matters of the cabinet and intelligence issues 4. Shareholding principle that Mt Kenya should get more in terms of the national cake because they are the ones who gave Ruto more votes

Gachsgua anapanga mashambulizi na mikutano on the ground. Political analysts wanasema Ruto hawezi kupata 223 MPs kuunga mkono hiyo impeachement
 
Ngoja tuendelee kula popcorn 👇👇

View: https://x.com/MfanyakaziNews/status/1839705575078408655?t=BItpbv5OO7U6YnDQGWhQdw&s=19
 
Bwana Naibu Rais Gachagua ameshindwa kuendana na Rais Ruto hivyo inafanyika mbinu Kumuangamiza Kisiasa.

Bwana Gachagua amekuwa akilalamika kwamba Serikali inatumia Vyombo.vya Dola Kunyanyaswa washirika wake wakiwepo Wabunge kadhaa ambao wamefunguliwa mashtaka kwa.madai ya kugadhi maandamano.

Wakati hayo yakiendelea Mwanamama ambae ni Mshirikia wa Odinga na Gavana Anatajwa kupigiwa Chapuo na Wabunge.

View: https://www.instagram.com/p/DAZFHyXNBQ2/?igsh=OGdremppZGJiY2p6

My Take
Kenya ni Moja ya Taifa yenye Katiba ya Hovyo sana.

Pamoja na makelele ya Chadema kutokea mfano Kenya ila ukweli ni kwamba Katiba Bado inampa Nguvu Rais kuingilia mambo mengi sana.

View: https://x.com/Kenyans/status/1839609041342939608?s=19

Kilichomponza the truthful man ni extremist mind za kisiasa. Yule mzee anafikiri kushinda uchaguzi ndio amemaliza kila kitu. Ila siasa za kenya kufitinishana ni nje nje.
 
Mbona kama mambo kama yanajirudia?

Wakati wa Rais Uhuru na Ruto, shida ilikuwa ni kama hii tu.

Uhuru underestimated Ruto, big time.

Ruto anajua hilo. Asi mu underestimate hii kijana, Jagachua
 
Bora Uhuru hakuanzisha mchakato wa kimtoa Naibu Wake kama Ruto
 
Hali ya uhuru inaendelea je!?

Riggy G akipata access ya kuendesha jeshi la damu la murimaaaa itakuwa shida sana. Mungiki wabakie chini ya uhuru tu kwa wakati huu.
 
Right G mkabila sana kama Wachagga tu hapa bongo , nadhani Kithure Kindiki ndio atarithi mikoba

USSR
 
Bora Uhuru hakuanzisha mchakato wa kimtoa Naibu Wake kama Ruto
Alimfanyia makando kando mengi tu. If my memory serves me right, alimuondolea hata ulinzi.

Alijaribu. Ruto akadinda.

Anyways piga ua, safari ya mbele, lazima Nyanza, Luo wachukue nchi. Huyu Jagachua atulize boli tu.
 
Gachagua akiondolewa Ruto harudi awamu ya pili maana Gachagua ni kiungo muhumi kwa Ruto na amesaidia uponyaji kwa Taifa la Kenya. Tusishangae akaungana na Odinga na Odinga Rais ajaye wa kenya. Hatujui ya kesho
 
Back
Top Bottom