Kwa anayejua vigezo vinavyotumika kumlipa mafao mtumishi wa serikali anayestaafu .Aliajiriwa 1979 mpaka 2016 (miaka 37) mshahara Sh.1,300,000/=Mfuko wa jamii in
LAPF.Naomba ufafanuzi.
Kila la kheri mkuu,mshukuru mungu kwa kukuweza kustafu kwani ni wachache wenyekufika huko,usisahau kumtolea mungu moja ya kumi ya pesheni yako utakapochukua,ubarikiwe sana.