Mbwembwe za majeshi ya Afrika!

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
94,244
122,336
Ona hawa ‘makomandoo’ wa jeshi la Senegal.

Sipendi kuhukumu sana bila ya kuwa na taarifa za kutosha, ila kwa kutumia macho tu, naweza kusema hawa watu [wanajeshi wa Kiafrika] ni vilaza sana.

Hawa wajeda wa Senegal kumbe hawana tofauti na hawa wakwetu wanaovunjaga matofali kwenye maonyesho ya sherehe mbalimbali za kitaifa.

Kwa tulio werevu na wenye ufunuo, hakuna chochote kilicho ‘impressive’ hapo.

Eti wanafanya kama wanajikata na visu halafu halafu ngozi zao hazichaniki wala nini.

FOH with that bullshit.


View: https://youtube.com/shorts/kSYrVP_FjbQ?si=MtzbaWYoqdclNjyP
 
China wana Jeshi makini sana ila sijawah ona wakifanya usenge huo, ni show show mpaka unaona kweli hapa wanaume wameiva acha hawa wakwetu wanatutishia uchawi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom