Alphaking2023
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 2,092
- 2,123
ishu sio kuchangamana na mashabiki ila tunaangalia anajichanganya vipi kwani kati ya hao walioenda kumpokea kuna watu wa aina mbalimbali uwezi kujua mtu amekwenda kwa nia gani alitakiwa apewe ulinzi wa kusindikizana nae hata kama ataandamana na shabiki zake lakini atakuwa na ulinzi wa kutoshaMnalalamika sana nyie watu. Angepewa ulinzi asijichanganye mngesema kashaanza kuringa sasa kaachwa ajichanganye mnalalamika kwanini kaachwa ajichanganye
Angeitwa Ikulu mngelalalmika pia, Rais kamtumia pongezi Bado mnalalamika kwamba haitoshi mnaona angeitwa Ikulu. Mmekuwa watu wa kulalamika kila kitu
Mpuuzi wewe apewe ulinzi samatta kwa lipi la kupewa ulinzi! Lipiiiii mpuunzo nyofaa kabisa wewe.Utasema na Diamond domo kubwa alindwe! Shiiity.ishu sio kuchangamana na mashabiki ila tunaangalia anajichanganya vipi kwani kati ya hao walioenda kumpokea kuna watu wa aina mbalimbali uwezi kujua mtu amekwenda kwa nia gani alitakiwa apewe ulinzi wa kusindikizana nae hata kama ataandamana na shabiki zake lakini atakuwa na ulinzi wa kutosha
avatar yako inaonyesha umefananaje,kumbe kufuli ndio maana unapayuka tu umeshazoea kubana nyeti za watu na lazima utakuwa kufuli la kike wewe usiejua umuhimu wa ulinzi kwa samatta ambaye kwa sasa ametutangaza kimataifa cha ajabu kufuli kama wewe huoni mchango wake kwa maslahi ya taifa na wachezaji wetu wa ndaniMpuuzi wewe apewe ulinzi samatta kwa lipi la kupewa ulinzi! Lipiiiii mpuunzo nyofaa kabisa wewe.Utasema na Diamond domo kubwa alindwe! Shiiity.