Waziri wa Mifugo na Kilimo, Mwigulu Nchemba (katikati) akiwa na Mkuu wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo (mwenye kofia kutokea kulia) wakielekea eneo la tukio.
Mwigulu Nchemba (katikati) akiangalia mifugo waliokatwakatwa na walinzi wa jadi kutoka Gairo.
Kikao kikendelea.
Zaidi ya Mbuzi na kondoo 200 huko Dihinda Mvomero mkoani Morogoro wamekatwakatwa na walinzi wa jadi kutoka Gairo wanaojulikana kwa jina la Mwanu ‘
Taarifa zinadai kuwa mifugo hiyo ilikula nusu ekari ya mazao ya mkulima mmoja kijijini hapo na taarifa zikawafikia walinzi hao ambao walifika na kukatakata mifugo hiyo mali ya mama mmoja mjane mfugaji wa jamii ya kimasai