Pre GE2025 Mbunge wa wananchi Jimbo la Chumbuni CCM, Ussi Salum Pondeza amegawa sadaka ya futari kwa watu wenye ulemavu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

the guardian 17

JF-Expert Member
Aug 15, 2024
491
705
Mbunge wa wananchi Jimbo la Chumbuni CCM Mhe. Ussi Salum Pondeza amegawa sadaka ya futari kwa watu wenye ulemavu zaidi ya 70 wanaoishi katika jimbo lake ili kusaidia katika mahitaji ya chakula katika kipindi hichi cha mwezi mtukufu wa Ramadhan.

1741267342894.png


Pondeza kupitia taasisi ya Pondeza Foundation hukutana na kuwasaidia watu wa makundi mbalimbili kwenye kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhan.

1741267371651.png


Katika maelezo yake Pondeza amesema kwa mwaka huu anatarajia kufikia watu 3,000.

Soma Pre GE2025 - Mbunge wa Nkasi Kaskazini, Aida khenani asema fedha za maendeleo zinazotolewa siyo za CCM wala siyo za 'baba zao' ni kodi za wananchi
 
Back
Top Bottom