Mbunge wa CCM kumshtaki mahakamani Waziri wa CCM kuhusiana na Uwajibikaji itakuwa Kali Sana

Ngoja tuone

Mbunge ( CCM) anamshtaki mahakamani mteule wa Rais ( mwenyekiti wa CCM)

Hapa Mpina na Bashe wanaweza kufungua Ukurasa mpya wa Siasa za Bongo

Dominica Njema 😀😀
Mpina yuko sahihi Jo. Anachotakq ni tafsiri ya sheria. Mahakama ndo iliyopewa mamlaka kikatiba kutafsiri sheria. Kwa hiyo mahakama itasaidia kutafsiri kama kitendo cha Bashe kutoa vibali Kwa kampuni ya simu kuagiza sukàri kilikuwa sahihi?
 
Tatizo mahakama za Tanzania hazina weledi.zinafanya kazi Kwa kuangalia huyu ni mteule wa rais na huyu si mteule wa rais.Tz Kila kitu kinafanyika Kwa kuangalia rais anavyotaka na si Sheria unavyotaka.
 
Mpina yuko sahihi Jo. Anachotakq ni tafsiri ya sheria. Mahakama ndo iliyopewa mamlaka kikatiba kutafsiri sheria. Kwa hiyo mahakama itasaidia kutafsiri kama kitendo cha Bashe kutoa vibali Kwa kampuni ya simu kuagiza sukàri kilikuwa sahihi?
Huenda ikawa ni elimu Kwa vijana wa baadaye kuhusu haki za kisheria. Elimu ni nzuri unapoona inatumika vizuri kufundisha vijana na taifa Kwa ujumla
 
Kutoa vibali vya Sukari haijaanza leo labda idadi ya vibali
 
Alisema hizi mahakama zenu ambazo rais akishiba juice ya tende ananyanyua simu na kuzipa maelekezo haziwezi kukubalika kwenye mikataba ya kimataifa
Asante sana, kwako Studio. Mpina bado uko?!
 
Ngoja tuone

Mbunge ( CCM) anamshtaki mahakamani mteule wa Rais ( mwenyekiti wa CCM)

Hapa Mpina na Bashe wanaweza kufungua Ukurasa mpya wa Siasa za Bongo

Dominica Njema 😀😀
Mpina ameng'ang'ania makende ya Bashe 😂😂😂!
 
Huenda ikawa ni elimu Kwa vijana wa baadaye kuhusu haki za kisheria. Elimu ni nzuri unapoona inatumika vizuri kufundisha vijana na taifa Kwa ujumla
Naam Mkuu, na ndilo lengo la Mpina. Ili Jambo hili liishe lazima tujue Bashe kitendo alichofanya ni sahihi au siyo sahihi. Baada ya hapo ndo tutajua Mpina alikuwa mwongo au mkweli. Kukiacha hewani kama alivyofanya Tulia ni kufunika Moto chini ya carpet.
 
Back
Top Bottom