Cha ajabu wakiwa bungeni wanakaa kimya kuhusu njaa.Huyo mbunge anakiuka agizo la mkuu wa nchi. Rais alisema hakuna popote penye njaa nchi hii.Labda huyo mbunge katokea turkana nini?
Tatizo la wabunge wa ccm wako pale bungeni kwa ajili ya kuitetea serikali,ikitokea wabunge wa upinzani wakatoa hoja yenye kutetea wananchi,wao wataipinga kwa nguvu zao zote na kutoa vijembe na kejeli huku wakishangiliana na kugonga mezaCha ajabu wakiwa bungeni wanakaa kimya kuhusu njaa.
Inamaana wanapima upepo kwa ile kauli kuwa Tanzania hakuna njaa
Jamani njaa ipo Kenya tena siyo yote baadhi ya sehemu. Huyo mbunge ni mvivu anapenda vya rahisiTatizo la wabunge wa ccm wako pale bungeni kwa ajili ya kuitetea serikali,ikitokea wabunge wa upinzani wakatoa hoja yenye kutetea wananchi,wao wataipinga kwa nguvu zao zote na kutoa vijembe na kejeli huku wakishangiliana na kugonga meza
Huyo mbunge kweli ni kanjanja yaani kilio cha wananchi ndio akipeleke kwa polepole?nimeamini wabunge wa ccm wengi ni chumia tumbo tu yeye anashindwa nini kuongea hayo bungeni hasa kipindi hiki cha budget?Mbunge wa Mbulu Vijijini, Flatei Massay, amemuomba Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole kufikisha kilio cha wananchi kwa Serikali ili wapatiwe chakula cha njaa.
Massay amesema hayo leo baada ya Polepole kufanya ziara ya siku mbili wilayani Mbulu ya kukagua uhai wa chama, kusikiliza kero na kuzungumza na Halmashauri Kuu ya CCM, wilaya ya Mbulu.
Amesema hivi sasa wananchi wana wakati mgumu kutokana na bei ukame uliokea msimu uliopita hivyo Serikali iwapatie chakula cha bei nafuu.
Amesema wananchi wa eneo hilo ni hodari kwa kulima mazao mbalimbali ya chakula na biashara, ila kutokana na ukame uliotokea msimu uliopita hivi sasa wanakabiliwa na upungufu wa chakula.
"Kwa sababu chama ndiyo kinasimamia Serikali, kilio hiki cha wananchi tunakifikisha kwako ili tatizo lao limalizike, kwani wanataka chakula cha bei nafuu na siyo chakula cha bure", amesema Massay.
Chanzo: Mwananchi
Huyu mbunge hajitambui na inabidi wananchi wamuwajibishe kwa kumkataa kabisaHuyo mbunge anakiuka agizo la mkuu wa nchi. Rais alisema hakuna popote penye njaa nchi hii.Labda huyo mbunge katokea turkana nini?
Wanahangaika na matumbo yao tuCha ajabu wakiwa bungeni wanakaa kimya kuhusu njaa.
Inamaana wanapima upepo kwa ile kauli kuwa Tanzania hakuna njaa
Hawajitambui na hawafaiTatizo la wabunge wa ccm wako pale bungeni kwa ajili ya kuitetea serikali,ikitokea wabunge wa upinzani wakatoa hoja yenye kutetea wananchi,wao wataipinga kwa nguvu zao zote na kutoa vijembe na kejeli huku wakishangiliana na kugonga meza
Mbona mahindi ya msaada amegawaHuyo mbunge anakiuka agizo la mkuu wa nchi. Rais alisema hakuna popote penye njaa nchi hii.Labda huyo mbunge katokea turkana nini?
Tanzania hakuna njaa bali kuna maeneo yake kadhaa yana njaaCha ajabu wakiwa bungeni wanakaa kimya kuhusu njaa.
Inamaana wanapima upepo kwa ile kauli kuwa Tanzania hakuna njaa
Yeah, njaa hakuna hapo,Njaa lazima itangazwe na kutambuliwa na Dereva wa Lori na siyo mbunge. Hapo hakuna njaa.