ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 61,425
- 71,855
Hivi huyu naye ni mchochezi kama TL au ataitwaje.Serikali 3 zilizo wazi ni muhimu kuliko Moja kujificha kwenye koti 😄
Biashara siyo jambo la muunganoHivi huyu naye ni mchochezi kama TL au ataitwaje.
Hajasema Muungano uvunjwe Wala kutumia Lugha za kashfa Bali anataka utaratibu mzuri uwekweHivi huyu naye ni mchochezi kama TL au ataitwaje.
Wazungumzaji wote hawasemi uvunjwe. Wanaongelea mkanyanyiko uliopo hadi leo hiiHajasema Muungano uvunjwe Wala kutumia Lugha za kashfa Bali anataka utaratibu mzuri uwekwe
Kwani Tundu Lissu si anawambia kila siku?Bwana Mbunge ameeleza sintofahamu iliyopo kati ya Zanzibar na Bara kwenye Biashara Kwa sababu Kuna utofauti mkubwa kiasi kwamba maingiliano ya biashara ni kama Nchi ziko Vitani wakati ziko kwenye Muungano
View: https://www.instagram.com/reel/C8aHTyBqyYE/?igsh=ODhuYnd5M3hic2Ez
My Take
Dawa ni kuwa na Muungano wa Nchi Moja.
Pia soma Mbunge Mohamed Issa: Wanaotoka Tanzania Bara kwenda Zanzibar wawe na Passport
Huo utaratibu Mzuri sasa ndio kisanga😂😂😂Hajasema Muungano uvunjwe Wala kutumia Lugha za kashfa Bali anataka utaratibu mzuri uwekwe
Leo umefumbuka.Serikali 3 zilizo wazi ni muhimu kuliko Moja kujificha kwenye koti 😄
Hapa ndiyo huwa kuna shida haswaKwani Tundu Lissu si anawambia kila siku?
Zanzibar wanaifaidi watu wenye vyeo kwenye serikali ya Muungano tu na hao ndio wanakwambia Muungano utalindwa kwa gharama yoyote.
Sisi wafrika tuna roho mbaya sana.Chukua sukari kiroba cha kilo 50 njoo nacho bara kutoka zanzbar
Yaani ni bora uagize brazil
Yaani uta tritiwa kama mjukuu wa escoba
Sion urahis wa biashara ya zanzbar ba bongo land
Uvunjwetu hauna maana yoyoteHuu MUUNGANO unashida Watawala wetu..fanyieni kazi hizi KERO hasa muundo wa huu Muungano
Hakuna koti uvunjwe hauna maanaSerikali 3 zilizo wazi ni muhimu kuliko Moja kujificha kwenye koti 😄
Kwa upande wa watawala sahau.Huu MUUNGANO unashida Watawala wetu..fanyieni kazi hizi KERO hasa muundo wa huu Muungano