Kuelekea 2025 Mbunge Tauhida Gallos Atoa Msisitizo UWT Kujiandikisha Daftari la Kudumu la Wapiga Kura

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
2,646
1,218
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi Kichama, Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo amewataka Wanachama wa UWT kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika Daftari la kudumu la wapiga kura linaloendelea.

Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo ameyasema hayo wakati alipofanya ziara ya kukagua zoezi la Uandikishaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura katika Mkoa wa Magharibi kichama.

Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo Amesema mtaji wa vyama siasa ni kuwa idadi kubwa ya wapiga kura hivyo iwapo watajitokeza kwa wingi kujiandikisha katika Daftari la kudumu la Wapiga kura, itawawezesha kukipatia ushindi chama hicho, ifikapo mwaka 2025.

Aidha, Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo amesema iwapo Vijana watajiandikisha wataweza kufanya maamuzi sahihi ya kuchaguwa au kuchaguliwa katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika hapo mwakani.

Hata hivyo, Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo amewataka Wanachama hao wa UWT kufanya kazi kwa bidi ili chama hicho kiweze kuwa salama na kuondosha malalamiko katika jamii.

"Tuache kulalamika, Majungu, Fitna na Uhasama na tuwaache Viongozi waliopo madarakani wafanye kazi za kutuletea maendeleo" - Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo.

Kwa upande wake, Msimamizi wa Daftari la kudumu la Wapiga kura katika Jimbo la Mwera, Salama Khamis Suleiman amesema zoezi hilo limeenda vizuri na kuwaomba Wananchi kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika Daftari hilo.

Hata hivyo, amefurahishwa na idadi kubwa ya Wananchi waliojitokeza kujiandikisha katika Daftari la kudumu la kupiga kura ili waweze kupata haki yao ya msingi ya kuchaguwa na kuchaguliwa.

WhatsApp Image 2024-10-08 at 09.13.27(1).jpeg

WhatsApp Image 2024-10-08 at 09.13.28.jpeg
WhatsApp Image 2024-10-08 at 09.13.28(1).jpeg

WhatsApp Image 2024-10-08 at 09.13.28(2).jpeg
 
Attachments

  • WhatsApp Image 2024-10-08 at 09.13.29.jpeg
    WhatsApp Image 2024-10-08 at 09.13.29.jpeg
    65.7 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2024-10-08 at 09.13.29(1).jpeg
    WhatsApp Image 2024-10-08 at 09.13.29(1).jpeg
    81.7 KB · Views: 1

MBUNGE TAUHIDA GALLOS ATOA MSISITIZO UWT KUJIANDIKISHA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi Kichama, Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo amewataka Wanachama wa UWT kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika Daftari la kudumu la wapiga kura linaloendelea.

Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo ameyasema hayo wakati alipofanya ziara ya kukagua zoezi la Uandikishaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura katika Mkoa wa Magharibi kichama.

Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo Amesema mtaji wa vyama siasa ni kuwa idadi kubwa ya wapiga kura hivyo iwapo watajitokeza kwa wingi kujiandikisha katika Daftari la kudumu la Wapiga kura, itawawezesha kukipatia ushindi chama hicho, ifikapo mwaka 2025.

Aidha, Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo amesema iwapo Vijana watajiandikisha wataweza kufanya maamuzi sahihi ya kuchaguwa au kuchaguliwa katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika hapo mwakani.

Hata hivyo, Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo amewataka Wanachama hao wa UWT kufanya kazi kwa bidi ili chama hicho kiweze kuwa salama na kuondosha malalamiko katika jamii.

"Tuache kulalamika, Majungu, Fitna na Uhasama na tuwaache Viongozi waliopo madarakani wafanye kazi za kutuletea maendeleo" - Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo

Kwa upande wake, Msimamizi wa Daftari la kudumu la Wapiga kura katika Jimbo la Mwera, Salama Khamis Suleiman amesema zoezi hilo limeenda vizuri na kuwaomba Wananchi kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika Daftari hilo.

Hata hivyo, amefurahishwa na idadi kubwa ya Wananchi waliojitokeza kujiandikisha katika Daftari la kudumu la kupiga kura ili waweze kupata haki yao ya msingi ya kuchaguwa na kuchaguliwa.
Wewe mbona ni habari za UWT pekee,kwa nini!!??
 
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi Kichama, Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo amewataka Wanachama wa UWT kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika Daftari la kudumu la wapiga kura linaloendelea.

Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo ameyasema hayo wakati alipofanya ziara ya kukagua zoezi la Uandikishaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura katika Mkoa wa Magharibi kichama.

Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo Amesema mtaji wa vyama siasa ni kuwa idadi kubwa ya wapiga kura hivyo iwapo watajitokeza kwa wingi kujiandikisha katika Daftari la kudumu la Wapiga kura, itawawezesha kukipatia ushindi chama hicho, ifikapo mwaka 2025.

Aidha, Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo amesema iwapo Vijana watajiandikisha wataweza kufanya maamuzi sahihi ya kuchaguwa au kuchaguliwa katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika hapo mwakani.

Hata hivyo, Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo amewataka Wanachama hao wa UWT kufanya kazi kwa bidi ili chama hicho kiweze kuwa salama na kuondosha malalamiko katika jamii.

"Tuache kulalamika, Majungu, Fitna na Uhasama na tuwaache Viongozi waliopo madarakani wafanye kazi za kutuletea maendeleo" - Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo.

Kwa upande wake, Msimamizi wa Daftari la kudumu la Wapiga kura katika Jimbo la Mwera, Salama Khamis Suleiman amesema zoezi hilo limeenda vizuri na kuwaomba Wananchi kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika Daftari hilo.

Hata hivyo, amefurahishwa na idadi kubwa ya Wananchi waliojitokeza kujiandikisha katika Daftari la kudumu la kupiga kura ili waweze kupata haki yao ya msingi ya kuchaguwa na kuchaguliwa.

Watu wajitokeze kwa wingi kwa uchaguzi gani, huu wa wahesabu kura? Hivi mnaamini bado watu watapoteza muda kwenye mistari ya kura kwa chaguzi hizi za kishenzi?
 
Back
Top Bottom