Mbunge Mihayo Akabidhi Sadaka ya Vyakula kwa Wananchi Zaidi ya 300 Jimboni Mwera

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
2,581
1,189

MBUNGE MIHAYO AKABIDHI SADAKA YA VYAKULA KWA WANANCHI ZAIDI YA 300 JIMBONI MWERA

Mwakilishi Jimbo la Mwera Mheshimiwa Mihayo Juma N’Hunga amekabidhi bidhaa za vyakula na fedha taslim kwa familia Mia tatu katika Jimbo hilo ili kujiandaa na Sikukuu ya Eid Al Fitri

Mheshimiwa Nhunga amesea utoaji wa sadaka hiyo ni mwendelezo wa mikakati yake ya kuhakikisha anawafikia viongozi na wananchi mbalimbali hasa wenye uhitaji wakiwemo Wazee, Wajane Mayatima na wasiojiweza ili kutumia bidhaa hizo za vyakula kwaajili ya kujidiandaa na Sikuu ya Eid

Aidha ametoa wito kwa viogozi wengine na watu wenye uwezo kutoa sehemu ya kile walichokuwa nacho ili kuzifanya familia zote visiwani Zanzibar kusheherekea Sikukuu kwa kula chakula kizuri na familia zao

Nao baadhi ya waliopatiwa sadaka hiyo wamemshukuru mwakilishi huyo kwa sadaka yake kwa jambo ambalo limewapa faraja na kusheherekea sikukuu ya eid Al Fitri kwa furaha

Sadaka iliyotolewa ni pamoja na Mchele, Unga wa ngano, Mayai na fedha taslimu
 

Attachments

  • WhatsApp Image 2024-04-07 at 15.20.22(1).jpeg
    WhatsApp Image 2024-04-07 at 15.20.22(1).jpeg
    39.5 KB · Views: 3
  • WhatsApp Image 2024-04-07 at 15.20.23.jpeg
    WhatsApp Image 2024-04-07 at 15.20.23.jpeg
    46 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2024-04-07 at 15.20.26.jpeg
    WhatsApp Image 2024-04-07 at 15.20.26.jpeg
    38.5 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2024-04-07 at 15.20.27.jpeg
    WhatsApp Image 2024-04-07 at 15.20.27.jpeg
    39.8 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2024-04-07 at 15.20.27(2).jpeg
    WhatsApp Image 2024-04-07 at 15.20.27(2).jpeg
    34.9 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2024-04-07 at 15.20.28(1).jpeg
    WhatsApp Image 2024-04-07 at 15.20.28(1).jpeg
    44.8 KB · Views: 2
Back
Top Bottom