mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,162
- 794
Akizungumza na EATV kuhusu tuhuma hizo Mbunge Anatropia amesema ''Nilikuwa natembea haraka kwenda kwenye kikao na kofia yake iliguswa na mkono kwa kusukumana na kuokotwa na ndiyo maana alivyotoka binafsi nilimsaidia kutafuta aliyeiokota''.
Aidha Mbunge huyo amesema kwamba bado wanazidi kuwasiliana ili kujua mtu aliyeiokota na baraghashia hiyo na kuondoka nayo.
Na hapo kajitahidi kuuficha ukweli.Hivi Mbunge huyu naye vipi??? Hii ilikuwa ni hoja ya kutojibu...siamini kama kweli ni maelezo ya Mbunge huyo...maana maelezo haya ni sawa na kukiri...sijui, wabunge wengine wakoje!!!!????
Asingemjibu wakati Mwenzie kaomba muongozo! Huwezi kuvaa kanzu bungeni bila kusingiziwa na kibandiko (barghashia)asingemjibu ni upuuzi kumjibu upuuzi kama huo........
Wabunge wa ccm ni zaidi ya wana futuhiAkizungumza na EATV kuhusu tuhuma hizo Mbunge Anatropia amesema ''Nilikuwa natembea haraka kwenda kwenye kikao na kofia yake iliguswa na mkono kwa kusukumana na kuokotwa na ndiyo maana alivyotoka binafsi nilimsaidia kutafuta aliyeiokota''.
Aidha Mbunge huyo amesema kwamba bado wanazidi kuwasiliana ili kujua mtu aliyeiokota na baraghashia hiyo na kuondoka nayo.
kwani huyo anatropia anaingia bungeni??hata akiongezewa adhabu hana cha kupoteza maana wote wa ukawa wameamua kukaa njeAsingemjibu wakati Mwenzie kaomba muongozo! Huwezi kuvaa kanzu bungeni bila kusingiziwa na kibandiko (barghashia)
Ikithibitika kamvua kibandiko anakula adhabu nyingine, kumbuka vikao kumi vinakaribia kuisha.