Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 2,201
- 5,585
MBUNGE wa Shinyanga Mjini, Patrobas Katambi, amesema ahadi ambazo aliwahidi wananchi kipindi cha uchaguzi Mkuu 2020 nyingi amezitekeleza na kuwaletea maendeleo wananchi wa Shinyanga.
Katambi ambaye pia Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na watu wenye ulemavu, amesema kutokana na machungu aliyonayo kwa wananchi wa Shinyanga, amekuwa akitafuta fedha ili kuteleza miradi mingi ya maendeleo,na kwamba ahadi ambazo alikuwa ameahidi nyingi ameshazitekeleza.
"Ahadi ambazo niliwahidi wananchi kipindi cha uchanguzi nyingi nimetekeleza na ninamshukuru Rais Samia kwa kuniunga mkono kero nyingi zimetatuliwa ikiwamo miundombinu ya barabara ambayo ilikuwa korofi na madaraja," amesema Katambi. wakati akizungumza na wananchi wa Kata ya Kitangili kwenye Mkutano wa hadhara.